Watoto wa vigogo(wakishua) tulioko jamiiforum tukutaneni hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,547
44,699
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.
 
Wewe ni mshamba flani ndege john nikikumbuka Uzi wako ngachoka kapisaaa
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mtoto Wa waitala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
himtoto wa kishua!
Screenshot_20190218-225555_1.jpeg
 
Wewe ndiye mjukuu wa Prof. Kapuya?

Hongereni sana kwa sherehe. Ilikuwa nzuri sana. Tulikula na kunywa.
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom