ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,553
- 44,719
Hii ni Special thread kwa tunaotoka familia kubwa kubwa zenye umashuhuri hapa nchini.watoto wa wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wakuu wa taasisi kubwa na watoto wa matajiri wakubwa hapa dar tukutane hapa.nianze na kujitambulisha Mimi ndege JOHN mnayeniona Ni mtoto wa naibu waziri fulani katika awamu hii hii ya tano.jina lake ntaliweka kapuni sitamtaja baba kwa jina lake ila jueni tu Ni naibu waziri.watoto wa kishua wote tukutane hapa tudiscuss vitu fulani fulani na kujuana zaidi.