Watoto wa vigogo huwa hawafeli na wakifeli nwanawini maisha kutumia majina ya wazazi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa vigogo huwa hawafeli na wakifeli nwanawini maisha kutumia majina ya wazazi wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Feb 11, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimeona watu wengi wakihaha ima kushangaa au kufurahia kufeli kwa Mwanaasha Kikwete. Zamani kushindwa katika masomo kulimaanisha kukosa fursa kwa ajili ya masomo ya juu au hata kazi nzuri. Siku hizi hilo si tatizo tena. Ukiwa na baba au mama mwenye jina kubwa utashinda kwa njia nyingine kama ukishindwa darasani. Waone akina Januari Makamba na Emanuel Nchimbi utaelewa ninachomaanisha.
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,275
  Likes Received: 2,952
  Trophy Points: 280
  ngoja wabishi waje,lkn imetulia sana!
   
 3. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Binafsi Mimi sioni muujiza wowote huyu mtoto kufeli,kwenye familia nyingi watoto wa hivi huwa hawakosekani.
  Mbona yule Salama ni Dr na degree yake ni ya Muhimbili,mbona Ridhiwani ni Lawyer ?

  Unless mtu aseme ukoo wao wote wana v 1.

  Halafu kumbuka huyu ni MwanaAsha Jakaya Kikwete+She is a Woman/Girl+She is beautiful.
   
Loading...