Watoto wa siku hizi tofauti na wazamani, unajua kwa nini............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa siku hizi tofauti na wazamani, unajua kwa nini.............

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Terrire, Aug 12, 2011.

 1. Terrire

  Terrire Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanangu siku moja aliniuliza "Hivi JK ni Rais wa Daslam au Waziri wa mambo ya nje?" Sasa sijui aliipata wapi hiyo coz hata sisi watu wazima hatumwelewi huyu Mkuu wetu.
   
 2. The only

  The only JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  hahaha asee labda kanamuona mkuu daily kwa luniga na wazungu
   
 3. M

  Madaraka Amani Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmmh Sema wewe kiazi tukisema sisi mihogo watasema tuna mizizi. Hata wewe tafakari safari za mikoani kiduchu lakini kula bata kwa wadosi safari za kumwagaaaaaaa.................... eh ndio tunawatengenezea pepo watanzania hivyo au tunajaribu kuhemea watanzania wapate mahanjumati,au sio .......................
   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapiunduzi - Mheshimiwa Doctor Jakaya Mrisho Kikwete
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Umesahau, kalikuuliza pia je, huwa kila siku yuko kwenye mashindano ya kujichekesha.?
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  kwani mwanao ana umri gani? Na anasoma drs la ngapi?
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  JK afungua booonge la studio ya kurekodia muziki.
   
 8. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwanao ni wa kike au wa kiume? Samahani sina nia mbaya!
   
 9. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  ungemwambi anamuenzi vasco dagama kwani ndo role model wa jk
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Mpeleke mwanao shule..... Ataharibika huyo! :-|
   
Loading...