Watoto wa sherehe ya miaka 51 ya Uhuru wanyweshwa pombe kali ya 'Value'!

Mama Mdogo;

Kwa kuna tofauti gani ya watoto wa miaka 4 wa wenye pesa wanaopelekwa shule za boarding zilizopo Uganda na Kenya bila kuwa na uangalizi wa wazazi wao na hawa wanaopelekwa shule ya mwalimu Nape?

Mi sijaelewa hapa una maana gani mkuu,watu wanaongea vitoto vimenyweshwa pombe hakuna hatua zilizochukuliwa.
Wasiwasi kwamba sijakupata vema.
 
Ilikuwaje mlete habari hii jf badala ya kuipeleka polisi?

Asante kwa ushauri. Hata hivyo, habari hii ilikuwa imebandikwa huko kwenye blog ya michuzi na aliyepost ndiye aliyeleta ushuhuda huo ambao tumebandika hapa ili wengi mushuhudie na kuchangia mawazo kama wewe dada Msoffe.
 
Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu wako wapi?wasaidie hawa watoto ni udhalilishaji na huyu afisa ashitakiwe kulingana na sheria za utumishi asiachwe hivi hivi kabisa!picha zinaonyesha!wale watoto wakiulizwa watasema ukweli wote!
 
Back
Top Bottom