Acha zako dada yetu vice speaker kisu sana yule hujamwelewa tuSikubaliani na wewe Kwa hiyo naibu spika wa JMT kuna Appetite au unajipa moyo King Solomon alimtoa malikia wa sheba maalfu ya kilomita kwa sababu ya uzuri wake.
Kitu kama Hichi ambacho ni matokeo ya Solomon na Sheba.
View attachment 1007310
Halua
Mkondo mmoja.Tanga wapo wazuri kuliko Zanzibar, na binti wa kitanga akikupenda hakuongopei wala haigizi, Tanga Raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimetoka kapa kabisa unaweza kurudia kuandika mkuuMimi niliwahi Kukutana na Mwanamke mzungu alikuwa anazunguka Continent letu kwa Baiskeli mimi nilikuwa nimepakia Mzigo wa Kigali nilipomuona Ilikuwa Mbele ya kijini cha Lusahunga.
Nikapunguza nikasimama na kumuuliza Kuna shida Gani akaniambia alikuwa anajisikia kichwa kinamuuma nikampa Lifti mpaka Boda njiani nikamuona kama ana hofu na mchoko nikamwambia pumzika lala kwenye kitanda akazuga kidogo lakini akalala.
Tulipofika Kigali Kuna dawa huwa anatumia ni Anti malarial nikapaki gari tukaenda nae Hoteli tuliongea nae sana yaani tulikuwa tumeshazoeana
Unajua hawa watalii backpackers hupenda hoteli bei rahisi mimi nikamshauri tuchukue Double bed akakubali nikamuacha hotelini mimi nikaenda kwa mpenzi wangu wa kinyaruanda.nikamuelezea mkasa mzima
Akaniambia twende wote pale Hoteli nikamwambia haina shida,tukafuatana na kipenzi changu hadi kwenye ile hoteli tukamywa bia kadhaa
Yule Mzungu akatoka chumbani kuja kutupa kampani pale yeye hakunywa zaidi ya chupa ya maji yule Mkobwa wangu mdadi ukampamda tukaenda chumbani baada kama nusu saa yule mzungu nae akaingia mimi nilikuwa na hamu na mpemzi wangu nikachapa mpaka nikapata usingizi
Tukalala mpaka asubuhi yulemwanamke wa kizunngu mdie aliewahi kiamka alaoga akatangillulia lwenda kuipekua Baskeli yake sisi mao tukaoga pamoja tukapata lifumgia kinywa tukaagana na yule mzungu kuwa amaenda ubalozini kwao na mimi nikaemda kwemye shuguli zangu akarudi pale hotelini mchana akaboock Chumba simgle moja
Mimi sikuwa na mpamgo naye ila vinywaji vikaanza tukaomgea mambo mengi baadae tukajamia chumbani alikuwa najawahi kulala na mtu mweusi condom zilikiwepo boxi zima
Nikacharaza asunuhi sana akaniaga akaelekea Milima ya Ruhengeri
Lakini angalia yule Mpenzi wangu wa Kitutsi nilifaidi kuliko yule Mzungu.
Miguu spoku halafu unakuta msichana anakunywa bia kama kiwanda kinafungwa kesho.
Hahahahahah!Miguu spoku halafu unakuta msichana anakunywa bia kama kiwanda kinafungwa kesho.
Naona hujawahi kukutanaMiguu spoku halafu unakuta msichana anakunywa bia kama kiwanda kinafungwa kesho.
kana chura lkn je ni laini?
Sio huyu kwel??
Naongezea hapo toto la kinyaturuNaona hujawahi kukutana
na Toto la Ki-Iraq,Kichaga,kimasai,Kirangi au la kipare toka
same,,Aisee chaliangu lazima unasie