babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Nimependa hilo pozi la pisha nijambe.
Taratibu mkuu tunakunywa juisi
Nimependa hilo pozi la pisha nijambe.
Sijui mimi ni mbaguzi au vipi,sijawahi ona mwanamke mzuri kuzidi mwanamke wa kiTanzania pamoja na kutembea karibu dunia yote...
Asante baba
kwani kuna pande za Kibaki Libya?
Sawa, unaweza kunicheka kwa kuzeeka, mimi ni babu, kweli.kwani hakuna wakenya wanaoish libya,hao tutaita pande za kibaki libya,au ujui kiswahili chetu vijana,sorry ni vile sijui umri wako,shikamoo babu hahahahaaa
Sawa, unaweza kunicheka kwa kuzeeka, mimi ni babu, kweli.
Sawa wewe unasema ni kijana, unajua Kiswahili, halafu unaandika "Ujui." "Ujui" ndio nini? Unaandika kitu kama "pande za Kibaki Kenya." Wakati tunajua Kenya ni kwa Kibaki tangia hapo. Tungo mbovu, haijaenda shule.
babu samahani kwa kiswahili changu,wengine hatukubahatika kama wewe kusoma tanzania,najua vizuri swahili ya kusema kuongea nimejitaid sana
Ni kijana, ndio, lakini mlughalugha, Kiswahili hujui, na unavyoandika havijaenda shule. Ni bora niwe babu mzee jinsi nilivyo kuliko mporipori ambae hata kuandika hajui.
Mkuu I can understand uzalendo wako lakini sikubaliani na wewe. Unawajua wanyarwanda na warundi wewe? Anyway kwa sababu umesema sub sahara I will spare Ethiopia na Djibouti coz hao tena acha tu....Mademu wetu wapo wazuri lakini nchi za jirani zetu kuna watoto wanatisha tusiwe vipofu!!Kwa ukweli,
Sub sahara hakuna watoto wazuri kama wa kitanzania tumezidiwa na Botswana na kidogo South Africa. Lakini
hakuna nchi nyingine inatuzidi kwa waliotembea nchi nyingi wanaweza thibitisha hilo.
West Africans, Central and Southern Africa wanatamani saana kuja kuoa Tanzania. Ni wanaume wachache saaaaaaana wanaotoka East Africa wanaotamani kuoa kwa wapopo na nchi nyingine sababu
- Dada zetu wa kibongo ni warembo no doubt.
- Dada zetu wana upendo wa kweli tofauti na wenzetu PESA na JUJU mbele
- Dada zetu ni True African kwa maana wana african feminine hata kama wanaishi nje ya Africa
Nyinyiiii! Njoono kwa madiba muone, dem ninae gonga mm muhuni bongo ata fisadi atongoi chenzea masena, maxangano, mazulu cjagusa watoto chotara bondeni noma ila tatizo ukimwa2...bomqqqqq
Mkuu I can understand uzalendo wako lakini sikubaliani na wewe. Unawajua wanyarwanda na warundi wewe? Anyway kwa sababu umesema sub sahara I will spare Ethiopia na Djibouti coz hao tena acha tu....Mademu wetu wapo wazuri lakini nchi za jirani zetu kuna watoto wanatisha tusiwe vipofu!!
Ongea na ndugu @Ab Titchaz, yeye ni mzoefu wa pande zile.:violin:Mh!itabidi nitafute uraia wa Kenya!
Nitam'consult' ili anipe ABC!Ongea na ndugu @Ab Titchaz, yeye ni mzoefu wa pande zile.:violin:
Kama ulikuwa mukichwa mwangu hasa totoz za Kikuyu zina makome utafikiri ni maforward waliofundishwa mahususi kupiga mpira wa kona kwa vichwaTatizo la madem wa kenya nywele zinaanzia katikati ya kichwa (komwe)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sijui mimi ni mbaguzi au vipi,sijawahi ona mwanamke mzuri kuzidi mwanamke wa kiTanzania pamoja na kutembea karibu dunia yote...
Hujaoona vitu ww unaangaliga majengo
we bro east afrka nzima bongo ina watoto 4 real watanzania wanajua kuzaa queens, hebu njoo arusha bwana dah huwa nawaza ina maana arusha haina uswaz kutoa watoto wabaya?