Watoto wa Obama, Malia na Sasha wako wapi? Mbona hawasikiki kabisa

mpwayungu village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
790
1,000
Ningependa kujua maisha yao kwa sasa maana hawa ni global public figures na jee vipi kuhusu kurithi vipaji vya wazazi wao kisiasa maana naona wamepotea kabisa kwenye social media hata kupata current photos utatafuta huzipati
FB_IMG_16361123263880779.jpg


Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 

Lokonga

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
2,297
2,000
acha kufatilia maisha ya watu.

Ni vema mods wakawa wanafuta nyuzi za kimbeambea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom