Hiyo ndiyo sumu inayoliangamiza Taifa!Katibu Mkuu ni kama Jaji wa Mahakama, haitakiwi ateuliwe kutokea kufundisha chuoni, hata awe Professor. Anatakiwa awe anajua utawala watu huru siyo wanafunzi.Vinginevyo ungeona maprofesa hapa duniniani wameajiriwa sehemu nyingi.Mtazamo wa Tanzania kama wako ni sababu mojawapo ya Tanzania kuwa hapa tulipo; kuwa na maendeleo hasi; tunachanganya kusoma na utendaji na pia kuwa na imani potofu kuwa mtu ye yote anaweza kufanya kazi yo yote! Ndiyo maana wengi tunategemea waganga wa kienyeji badala ya kwenda hospitali. Akili ya aina hii imeshamiri hata kwa waliokwenda shule. Ni aibu!