Jiwe alimuingiza serikalini; wapo na mtoto wa Kikwete wizarani ya Ardhi!!!!Kuna mtoto wa Mkapa hapo bungeni?
Jiwe alimuingiza serikalini; wapo na mtoto wa Kikwete wizarani ya Ardhi!!!!Kuna mtoto wa Mkapa hapo bungeni?
Hata kinda moja?Huyo bibi hana mtoto aisee, labda wa kuwalea.
Naibu KMNdio na mmoja ni katibu mkuu
Mkapa alikuwa na watoto wawili Nico na Steven sijui kwanini watu wanajuaga Mkapa hakuwai na watoto.Kwani mkapa alikuwa na watoto?
Hata mimi huwa nashangaa hilo jambo, Waswahili tuna shida sana.Mkapa alikuwa na watoto wawili Nico na Steven sijui kwanini watu wanajuaga Mkapa hakuwai na watoto.
Kiranga
Dogo naibu wa mjengoDada muungano,kaka Zanzibar
Hata kama ungekuwa mpiga kura wewe ungempigia Lemutuz awe mbunge wako ???Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika
Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000 alimgaragaza mzee Keenja rip kwenye kura za maoni pale Ubungo sema tu Mkapa akaingilia kati Keenja akatimba bungeni
Ukifika bungeni utawakuta akina Jr kibao, kwa mfano Kawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk. amekosekana Le mutuz na Kinje tu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jumaa kareem.
Hata mzee Ngombale Mwiru vijana wake hawapo kwenye siasa za ccm.Wazee hawa walioishi kwenye nadharia za ujamaa kindakindaki , hawakuwekeza zaidi kwenye elimu na urithi wa watoto wao. Mifano ni mingi hata Mwl hakuwekeza huko zaidi ya ikulu kuwabeba.
Rip. Mwele, nakumbuka kisa chake na marehemu Maghufuli
You know hahahaLe mutuz ni bilionea anakaa na mabilionea wenzake kama akina mosha, hawezi kukaa the whole day bungeni muda huo anautumia kuingiza mapesa...le akili kubwaaz, american spirit
Na znz kuna mwakilishi na mkwewe na wajukuu wamepenyezwa.. ..vichwa sasa box tupu..Dogo naibu wa mjengo
Warioba? Msuya? Salim? Mkapa? vipi haoNi mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika
Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000 alimgaragaza mzee Keenja rip kwenye kura za maoni pale Ubungo sema tu Mkapa akaingilia kati Keenja akatimba bungeni
Ukifika bungeni utawakuta akina Jr kibao, kwa mfano Kawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk. amekosekana Le mutuz na Kinje tu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jumaa kareem.
Unaongelea nchi gani?Cheo cha KM ni cha siasa? Katibu Mkuu anapanda kwa sifa zake ndiyo maana kule hakuna UVCCM
TzUnaongelea nchi gani?
na nuksi pia....au hali fulani ktk ulimwengu wa rohoKuna uwezekano kwao siasa sio kipaumbele kama ilivyo kwa hao wengine...