Elections 2010 Watoto wa mafisi wanawashabikia baba zao kwa ubadhirifu wanaoufanya

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
KATIKA KUONYESHA KWAMBA HATA WAO HAWAWEZI KUBADILIKA WATOTO WA MAFISADI BADO WAMEENDELEA KUWA NA WAO MAFISADI AU WAMEENDELEA KUSHANGILIA BABAZAO JINSI WANAVYOHUJUMU UCHUMU WETU. MFANO, MIRAJI KIKWETE,RIDHIWANI KIKWETE,JANUARY MAKAMBA NA NAKAAYA SUMARI. UPUUUUUUUUUUUUZZII MTUPU.



Ningekuwa na gun ningewa-shoot:)))))))))))))))
 
Ni kweli kabisa.
Jana nilikuwa na argument kubwa na mtoto wa mafisadi na nilikuwa muwazi na nilisimama kwenye ukweli kwamba kama si wizi wa baba yake asingekuwa kama alivyo. Nilimtahadhalisha kuwa iko siku baba yake atakuwa nje ya system kwa nguvu ya wananchi. Nilimuonyesha mifano halisi.
 
Hawa wezi watoto wanajidanganya. Wangekuwa na akili sawa sawa wangesoma yaliyotokea baada ya jambazi Mobutu au Bokassa kupigwa teke. Huu ni ufalme wa mchwa ambao tunapaswa kuuangamiza kwa nguvu zote.
 
Hawa wezi watoto wanajidanganya. Wangekuwa na akili sawa sawa wangesoma yaliyotokea baada ya jambazi Mobutu au Bokassa kupigwa teke. Huu ni ufalme wa mchwa ambao tunapaswa kuuangamiza kwa nguvu zote. Kuna siku tutawaapiga teke tu.:llama::llama::llama::llama:
 
that right! acha wajiandalie mazishi yao!
hivi haka kajamaa eti ridh1 hivi ni nani hapa nchini!
mbona akina dk mwinyi wana tittle kubwa na shule nzuri lakini hana mbwembwe!
namhurumia sana!!!!!!!!!!!!!
anyway nguvu ya umma ipo karibu sana kudhihirika!
tujifunge mkanda finaly we eill get there!
 
A son of a cobra is a cobra......................na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo................................
 
Back
Top Bottom