Watoto wa kiume wadogo wanatupenda sana siku hizi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Ni vile tu sina tabia hyo ila nikitaka ni sekunde mtaani hakuna shikamoo wala nini ni mambo dada ukijisahau unaliwa au kuolewa kabisa.

Ngoja wamalize mitihani tuolewe tu hamna namna.Bora kuolewa na mtoto kuliko kuwa mchepuko wa wazee wenzangu.

Vijana wa miaka 35-40 ambao hawajawai kuoa ni pasua kichwa usijaribu.

45-ni watalaka hawa nao sio wa sport sport

50-nao watalaka au wagane nao sio mchezo

60-wastaafu hawa nao watalaka au wagane wana hadi wajukuu

25- kwenda chini brand new wanatulia kabisa refer Dogojanja, Uchebe, Brown wa Wolper, Diamond wa Zari.
 
Mdada, hii ni kama mara ya pili naona unazungumzia kumiliki VIVULANA na tena ukiwa umewalenga waliokuwa wanatarajia kumaliza mtihani huu ufanyikao sasa kitaifa.

Ukimpata we miliki tu, sababu naona unajaribu kutafuta uhalali wa hilo, ni HALALI.....

Ile miaka 30 inatuhusu sisi tu.
 
sasa mnataka tuende wapi mkuu na kutuoa hatutaki? tutakataa ndoa hadi lini?
 
ni vile tu sina tabia hyo ila nikitaka ni sekunde
mtaani hakuna shikamoo wala nini ni mambo dada ukijisahau unaliwa au kuolewa kabisa. ngoja wamalize mitihani tuolewe tu hamna namna
bora kuolewa na mtoto kuliko kuwa mchepuko wa wazee wenzangu
vijana wa miaka 35-40 ambao hawajawai kuoa ni pasua kichwa usijaribu
45- ni watalaka hawa nao sio wa sport sport
50-nao watalaka au wagane nao sio mchezo
60-wastaafu hawa nao watalaka au wagane wana hadi wajukuu
25 kwenda chini brand new wanatulia kabisa .refer dogojanja, uchebe ,brown wa wolper,diamond wa zari

sawa kwa umri ni wadogo lakini wanawe... sori Kiibodi imeharibika.
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom