PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 731
Imeripotiwa leo, huko mara wazazi wameanza kuozesha watoto wa kike kwa kisingizio cha shule kufungwa. Pia kulazimisha watoto hao kukeketwa .
Mkoa wa Mara umekuwa kinara wa kukeketa watoto wa kike.
Sijui lini wenye tabia hizi watastarabika na kuacha ujinga huu.
Shame on them.
Mkoa wa Mara umekuwa kinara wa kukeketa watoto wa kike.
Sijui lini wenye tabia hizi watastarabika na kuacha ujinga huu.
Shame on them.