Watoto wa kike vyuo vikuu wawekewe mageti, watoto wengi wa kike wanaharibikiwa wakiwa vyuoni

inasikitisha kwa kweli hali ni mbaya,watoto wa kike bwana,kuna dogo naye wa kiume nikimfikiria jinsi alivyo naona kabisa chuo ata disko shule za boyzee zimemharibu tu, vitoto vdogo vikienda kwao kucheza na wadogo zake anavparamia, kisa kwao mambo safi kesi zinaisha kienyeji sasa Leo hii ndo yupo chuo mwaka wa kwanza sasa sijui hao mabinti mtoa mada aliosema watasalimika kweli huko vyuoni daaah mungu mnusuru asifukuzwe chuo mana akili zitambeba sema nidhamu tu ndo ziro na life bila nidhamu ni hakuna kitu aisee...
 
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Utoto unaishiq miaka mingapi na hao wana miaka mingapi?
 
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Tabia iko ndani yao mageti yanakuwa nje yao hakuna uhusiano hapo,kama umenielewa lkn
 
Chuoni wewe pasua tu mitihani yao,mengine hayawahusu! Hata Saut chuo cha waghalatia hawana mambo ya ajabu ajabu,paper zao zipige,assignment Fanya,test fanya, quiz zao bomoa,UE piga, sasa watakushikia wapi??
Ndo raha ya chuo, wee kuwa buzzy na academic values, hayo ya tabia binafsi havihusiki.
 
Wasalaam

Napenda kuwakilisha hili kwa serikali kwamba watoto wa kike wanaenda vyuo vikuu wawekewe mageti usiku wasitoke. Maana imekuwa kero kwa wapenda burudani. Hii imeonekana sehemu nyingi sana nchini. Ukiwa dodoma kuna pub nyingi zinajaaa hawa hawa watoto. Ukiwa mza, mbeya na arusha vile vile. Serikali liangalieni hili watoto wengi wa kike wnaharibikiwa wakiwa vyuoni.
Hao siyo wanafunzi wa Chuo. Ni ajira mpya kwa jina la “mimi mwanachuo”. Fanya utafiti huko uliko.
 
Wakiwekewa mageti waheshimiwa wabunge watakula nini na hawa mademu watawaroga kina nani ili wawekwe mjini?
 
Hao siyo wanafunzi wa Chuo. Ni ajira mpya kwa jina la “mimi mwanachuo”. Fanya utafiti huko uliko.
Kweli kabisa, tunawala sana hawa kuku wa kizungu haswa ikifika January wanaporudi likizo na njaa zao. Chapati moja tu na chai ya rangi au pakti ya ubuyu wa Zanzibar unajipigia mwana chuo kiulainiiiiii. I can't wait for January to come.
 
Vyuoni hakuna watoto mkuu, sema wapo watu tumewazidi umri ila sio watoto.

Watu wanaenda pale wengine wako na familia zao tayari, sasa utampangiaje maisha, wanao umri wa kufanya maamuzi binafsi tayari
 
to be honestly vyuoni "watoto" wanachakatana sana asee 😁, kama una mwanao huko wakike au ndugu yako wa kike na nidhamu yake ya maisha ni F! 😂😂😂🙌wakristu tufunge macho tuombe... salaaale... 🙌
 
Back
Top Bottom