Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

Mimi nadhani sio fair kuwaweka watoto wake kwenye public scrutiny wakati sio public figures...ibaki tu kua Sirro alikosea sana ,lkni mmbo ya kuingiza wanae siyo kbsaa
Vipi mKosa ya hamzahukusishea n wazazi wake au waaxi kuzaa watoto wa hovyo hhvyo
 
Wale wenye sifa za kuwa Askari hawapewi nafasi, nafasi wanaewa watoto wa wakubwa. Kuna dada mmoja nilisoma nae, hata zile term exams alikula buyu. Siku moja nilikutana nae barabarani ni traffic police. Shemeji yake ni mmoja wa ma IGP wastaafu.
Pole sana mwanangu ndivyo dunia ilivyo,we komaa tafuta mkate kwa ajili ya wanao na mmeo.

Maana ukiendekeza lawama utakufa kwa kiholo na usingiziwe ni Corona!
 
KUNA MMOJA YUPO TIA ANADANGANYA NI WAKE ANAGAWA MBUNYE KAMA HANA ALIKI NZURI MALAYA SANA ANASHINDAGA LIQUID NA KI I PHONE CHAKE
 
Hakuna watu wajinga kama maaskari hovyo kbs hawana akili kazi ubabe tu. Ukiona trafiki mwanamke mchunguze vyema akili zero. Kuna mmoja nilimbandua kuja kumchunguza kiundani alifoji cheki. Ila kabaki kazini
yupo traffic mmoja mkuda kishenzi hapo lunzewe baada ya ushirombo
anatembea na kaunta book . anaandika humo majina ya watu woote waiopigwa tochi
 
Tunajadili watoto wa wenzetu kwa ubaya zaid ila tusisahau nasie tunawetu. Tujiulize wanazungumzwaje na watu?
Tupunguze chuki zisizo na tija maana hata mbele za Mungu hatutendi haki.

Binafsi ninafahamiana na mmoja na ni mtu mwema sana na n mkarimu sana kwa watu. Pia anasaidia hasa katka kazi.
Tupunguze chuki zisizo na maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom