Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Kuna watoto tu wengi wa wakulima,wapiga debe,wauza ngada,wauza pombe na watu ambao wamedharaulika kwenye jamii lakini leo hii hao watoto ni watu muhimu kwenye jami!!
So haijalishi Baba yako ni nani,unaweza ukawa yeyote utakaye!
 
Sisi watoto wa wanyonge afisa utumishi anakusotesha miaka kumi hukioni cheo, watoto wa wakubwa wanapigwa vyeo mserereko.......nawaelewa sana wanaosema haki ipo mbinguni, duniani ni mwendo wa kuburuzana tu.
inachekesha na kusikitisha pia
 
Tambueni pia kuwa kwa namna mahita alivyokuwa 'mchafu' ktk 'kudhulumu' basi hata watoto watakuwa hivyo kwani ni laana ambayo itaendelea kuwatafuna ktk ukoo wao!
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
We jamaa unapenda kulialia sana

USSR
 
Hawa vilaza ambao hata PGO ni shida ni vigumu kuelewa kitu! "Conflict of interest" kwao ni msamiati kutoka mwezini.
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Piga talantalila Ila Kuna watu wanataka pia kujua location na asset za mahita kwa matumizi ya baadae.
 
Hili la viongozi wa jeshi au serikali watoto wao kufuata kazi za baba zao au mama zoa ni jambo linalokubalika ila lisiwe kwa njia ya upendeleo. Majeshi yote yanakuwa na campaign zinazowahusisha watoto wa staff ili kuwavutia kazi za baba/mama zao hii ni katika kujenga ushawishi kwa watoto kuipenda kazi za baba/mama zao. Tukumbuke tunda sawa mti kama baba alikuwa mzuri sana jeshini basi chance ni kubwa sana mtoto akawa hivyo hivyo. Hii sii lazima, mfano ni familia ya Mahita. Mtoto amekuwa mtesaji mkuu, labda baba nae alikuwa na chembechembe hizo? hili hatujui. juu ya wototo hao kupanda vyeo haraka kwa upendeleo hili ni tatizo na livunja moroli kwa walionza kazi pamoja hili sii zuri. Tukumbuke Nchi nyingi za kiafrica tumetoka kwenye tawala za kiimla na kuzoea upendeleo ulio wazi hili inabidi tulikemee kwa nguvu zote. Tangu Nyerere afe nchi inaelekeo kwenye kubomoa umoja wa kitaifa hadi leo kwa ngazi zote hadi juu kabisa. Hili lisipo kemewa nchi itagawanyika vipande vipande kuanzia ndani na kuchochewa na maadui zetu. Taifa lianaelekea kwenye ubaguzi wa kikabila na kikanda vitu Nyerere alivipinga sana.
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .

Natanguliza Shukrani .
Inasikitisha sana kuwa Mahita Senior alitumia u IGP wake kuendesha/kufadhili vikundi vya kijambazi ili kujipatia mali na utajiri mkubwa alionao huku maisha ya wengine yakiangamia.
Leo Mahita junior naye anakuja kuwa mtesaji na muuaji kwa kutumia ofisi ya umma na kwa vile ni kada pia usishangae hivi karibuni ukasikia ni kiongozi huko polisi au hata IGP. Mbaya ni kuwa kaingia cha kike na kutesa makomandoo na kumpoteza mmoja wao, na hao sio Chadema walio zoea kuwatenda na yanaisha tuu.
Jee hii familia ya Mahita inatutafuta nini Watanzania
 
Idara za serikali zimegeuzwa kuwa personal fiefdom Tanzania na hii sio kwa jeshi la polisi tu.

Ila ndio hivyo tena. Wajuzi wa mambo wanasema ukabaila bado ndio mfumo tawala bora zaidi hivyo tusitegemee upendeleo wa kinasaba ukoo na ukabila kupotea siku za karibuni.

Paesano wataendelea kuwa paesano. Plebeians, askari na wale wa nasaba bora(noble families) nao ni hivyo hivyo isipokuwa kwa mapinduzi ya kikomunisti au kimafia yanayorudiwa mara kwa mara.

Sehemu kubwa ya ulimwengu wa leo ikiwemo Tanzania ipo ripe kwa mapinduzi ya namna hiyo.
 
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa, Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI, au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA, hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu.

Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo.

Natanguliza Shukrani .
Yajayo yanafurahisha
 
Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao

Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia
Yaan ulivyo ongea hapo inathibitisha kabisa na wewe ni zao la baba jingajinga maana isinge kuwa hivyo basi ungeona umuhimu wa makundi yote ya binadamu yaliyopo duniani kwa sababu hata hiyo bush, karume, kim and co ulio wataja hapo wasinge kuwa wao kama kusinge kuwa na tabaka tawaliwa.
 
Huyo Mahita kitakacho mnusuru tuu ni Kifo.....aombe Afe mapema maana lazima wote watashitakiwa..

Na wakae wakijua mahakamani hakuna utetezi wa " nilikuwa napokea maagizo toka juu"
 
Back
Top Bottom