Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

hawa jamaa wanabisha tu kwakua wanaonaga wale polisi wa vyeo vya chini wana njaa, traffic wana pesa sana na majumba makubwa wao wanapata saa nyingine mshahara wao wote ndani ya nusu saa tu kwa ma deal wale,unapiga laki 9 mchana,asubuhi ulipiga laki,bado kesho tena
-Jiulize swali kwa Nini Hata hao Polisi wakisikia Nafasi za Kaz TRA na BoT na wao wanaomba? Unafikiri kwa nn?
 
-Hayo magari na magorofa si kitu cha kawaida Sana kwa Maafisa wa BoT, TRA Tena maafisa wa kawaida tu
- Forodha ndiyo miongoni mwa engine ya uchumi wa nchi
hiyo ndio point yangu sasa mkuu kwamba polisi nayo sio kazi ya kinyonge watu wanaishi,sijasema inazidi hizo secta za BOT,ila ukiwa mtumishi wa BOT ni ngumu kupata pesa kila muda
unamuona hata huyo mahita aliye trend ? hawezi kuwa amekaa kizembe lazima kashapiga deal nyingi tu
 
hiyo ndio point yangu sasa mkuu kwamba polisi nayo sio kazi ya kinyonge watu wanaishi,sijasema inazidi hizo secta za BOT,ila ukiwa mtumishi wa BOT ni ngumu kupata pesa kila muda
unamuona hata huyo mahita aliye trend ? hawezi kuwa amekaa kizembe lazima kashapiga deal nyingi tu
Aah sijamaanisha ni kazi ya Kinyonge Maofisa Waandamizi wa Polisi wanazo Pesa ni kweli hatukatai.
 
umesema vyema sana, nakumbuka back in the days kuna jamaa walikuwa wanaiba vitu uraiani wanaenda kuficha kambini juu ya dari😂,sasa kama umeibiwa utaenda ku search kambini ?
polisi ni wakarofi wakiwa mtaani ila line walikuwa wanapelekeshwa sana na watoto wao,na wana vituko kama wanafunzi wa Boarding tu yani maisha ya line ni burudani sana aisee
wapo jamaa tumekua nao hawakua na interest na u njagu,sahivi ni ma boss wa makampuni makubwa mjini hapa
🤣🤣🤣😂!! Yaani Kota za Polisi ni Tanuri la Kupika Mitoto Mitukutu!! Labda siku hizi watakuwa wamestaarabika kidogo lakini zamani, dah!!
 
Mi nimekulia line ya magereza, ajabu hata huko pia kuna wizi. Wezi ni watoto wa askari wa hapo hapo kambini! Inanikumbusha mbali sana, kuna mwamba alikuwa anapanda hadi batini na kuiba solar panel! Kuna toto jingine lilikuwa ni livuta bangi mara nasikia ni li polisi! Khatari sana, jitu kama hilo kwanini lisionee watu bangi zake zikipanda?
Generally, watoto wa askari ndo wapo hivyo... iwe polisi, magereza au JWTZ, ni full utukutu!
 
..Utarithi ulichokikuta labda itokee uwe 'outlier'....kama kuna mzazi mwalimu huenda kuna mtoto akawa mwl na hata kada zingine mambo yapo hivyo.
Sure! NI nadra sana eti watoto wooote wasirithi kazi ya mama au baba yao!!
 
🤣🤣🤣😂!! Yaani Kota za Polisi ni Tanuri la Kupika Mitoto Mitukutu!! Labda siku hizi watakuwa wamestaarabika kidogo lakini zamani, dah!!
siku hizi wamepoa sana,mambo ya boarding schools pia yanachangia nadhani
 
Back
Top Bottom