Watoto wa familia moja wauwawa kinyama..wanyofolewa ubongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa familia moja wauwawa kinyama..wanyofolewa ubongo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by TATOO, Aug 25, 2012.

 1. T

  TATOO Senior Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mauwaji ya kutisha yamefanyika katika kijiji cha Baranga wilaya ya musoma vijijini kata ya buswahili tarafa ya kiagata baada ya watoto wawili wa familia moja wakiwa na umri wa miaka 5 na 7 baada ya kutekwa mchana na watu wasiojulikana na baada ya siku iliyofuata walikutwa wakiwa wameuwawa kwa kukatwa vichwa na kutolewa ubongo kila mmoja na kunyofolewa sehem nyingine za mwili....

  Kwa habari za kuaminika nikwamba maeneo hayo kuna mgodi wa machimbo ya dhahabu na kumekuwa na matukio ya kutisha baada ya wananchi kusema ni takribani mwezi mmoja or miwili kiliokotwa kiungo cha mguu wa mtoto mdogo aliepotea kwa mazingira ya kutatanisha na kudhaniwa kwamba ni mtoto aliepotea hadi sasa hakuweza kupatikana...
   
Loading...