Watoto wa Arusha: Nini kilimuua Masanjuu?

Aiseee.. masanjuuu... gone too soon.. he was only 33... kijana mdogoo.. tajirii.. mbunifu kwenye sekta ya ujenzi..alianza na mikanda ya gypsum.. mpaka kutengeneza rangi.. brand ya rock paints.. alikua anamuita olotu hardware mjomba.. kwa kweli story za mtaani ni nyingi.. si vyema kuziweka hapa kwa kua sina proof... ila may his soul RIP..
 
Back
Top Bottom