Watoto tu ndio wanaotufanya tuishi na hawa tuliowaoa vingine ndoa nyingi hazingekuepo

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
508
622
Kuna wakati unafika unataka kufanya maamuzi magumu ila ukiwatazama wanao unasikia maumivu makali moyoni kama mtu anauchana moyo wako n'a kiwembe basi unaamua bora siku ziende tu maana huna jinsi ulishajichanganya katika maisha...
 
polee, lkn vile vile kubaki halaf kila siku wanashuhudia ngumi na matusi bora alieondoka.

Yote kwa yote, malezi bora kutoka kwa wazazi wote ni msing mzuri kwa mtoto
 
Kuna wakati unafika unataka kufanya maamuzi magumu ila ukiwatazama wanao unasikia maumivu makali moyoni kama mtu anauchana moyo wako n'a kiwembe basi unaamua bora siku ziende tu maana huna jinsi ulishajichanganya katika maisha...
Na ndiyo maana tunakufa mapema - presha, kisukari, msongo wa mawazo, magonjwa ya moyo, mental health issues na mengineyo. Kuzaliwa mwanaume ni kazi tena pevu. Pole kamanda !!!
 
Ndoa za siku hizi ni pasua kichwa wanandoa hawavumiliani na kudumu. Ama Mke au mke kikunuka tu ndani ya nyumba ni kuachana tu haijalishi watoto, sana watoto watapelekwa kwa bibi na babu wakalelewe huko. Maadili Ya Ndoa yameshuka sana
 
Kuna wakati unafika unataka kufanya maamuzi magumu ila ukiwatazama wanao unasikia maumivu makali moyoni kama mtu anauchana moyo wako n'a kiwembe basi unaamua bora siku ziende tu maana huna jinsi ulishajichanganya katika maisha...

Pole sana ketone
 
Ilo umenena! Wanawake vichwa maji! Kama sio watoto nyumba nyingi tungeishi wenyewe!
 
ndoa ngumu,,,,,,
Image result for divorce gif
 
Back
Top Bottom