Watoto ni malaika hawasemi uongo

Ila kina mangi wanayajua mengi jamani
Mpaka simu huwa zinaachwa kwa mangi,asubuhi mtu anatoka anapitia simu yake kwa mangi...
Hela za nyumba ndogo unakuta zinaachwa kwa mangi
Namba za simu zinapatikana kwa mangi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tofautisha mwanamke na mwanaume linapo kuja suala la ngono.Kwa mwanamke ngono ni muendelezo wa mapenzi na kwakweli hakuna utengano(kama si biashara)mwanamke hufikia hatua ya ngono baada ya kupenda na kuridhia kufanya ngono.Hivyo huwezi kutofautisha kitendo cha ngono,mapenzi na kupenda kwa mwanamke.Mwanaume sivyo,ngono kwake si lazima itokane na mapenzi au matokeo ya kupenda.Kwa mwanaume ngono ni tendo la akili si hisia;akitamani anaweza kufanya na huyo mwanamke akimaliza asimuhitaji tena.Unaweza kupenda kikamilifu mwanamke mmoja tu kwa wakati mmoja.Ila kwakuwa ubongoni kwa mwanaume kuna hali ya kumiliki hata ukimuambia achague wanawake watano kati ya kumi alale nao moyo wake utasononeka kuwakosa wale watano ambao ni yeye hakuwachagua.Mwanaume hutamani kwanza kupenda anajifunza taratibu,kama una mwanao wa kiume mfundishe namna ya kupenda kwa kufanya matendo yanayo ashiria mapenzi nyumbani.Kama vile kuongea naye kwa utulivu na kirafiki mkiwa wawili,kumnunulia zawadi na kumpatia mkiwa wawili tu pengine chumbani kwake,muombe zawadi huku ukitabasamu anapotoka hata kama anaenda shule n.kHii itasaidia kuongeza uwezo wa hisia za mapenzi kwa kijana huyu kwa mkewe lakini pia asikusahau katika maisha yake.Mtengeneze mwanaume umtakaye awe faida kwa mwanamke mwenzako baadaye.Watoto wengi wa kiume wanapokuwa hutengenezwa na baba ndipo ubabe unapoundwa na kushindwa kutofautisha hisia za mapenzi na kutawaliwa.Chukueni hatua kama mnataka mabadiliko ya kihisia kwa mwanaume angali kijana mdogo akikuwa ni rehema za Mungu tu kumgeuza.Mchana mwema
Somehow..ndio maana nikasisitiza ukichokwa!

Well said, darsa mardhiya... Ahsante
 
Back
Top Bottom