Watoto nchini Syria wanapata shida sana ya Baridi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
10805806_883506525015282_2697361018816062758_n.jpg

Mtoto wa Ki-Syria akiwa chumbani hapo hakuna moto wa kupata joto na amelala ndani ya barafu. Ewe Mungu wasaidie hawa malaika hawana makosa ameen.... Syrian Refugee Blanket Appeal
Last day to reach the goal! Support now!!!

1484590_883506538348614_5176982628717276320_n.jpg

10850010_883506558348612_8294760274191769310_n.jpg

Kambia za Wakimbizi nchini Syria.

10846164_883506568348611_8964007637009135794_n.jpg
 
Hizi nchi zinapata baridi kali kama hii??
Baridi huku ipo kali sana hiyo ni baridi ndogo baridi ikiwa kali barafu inakuwa nyingi kiasi huwezi kutembea kwa miguu kabisa au ukitembea kwa miguu unaweza kuanguka mimi siku za mwanzo nilikuwa ninanguka kila wakati mpaka nimezoea sasa utafiti Baradi ya huku inafika mpaka -20 Urusi inafika mpaka -50 wanyama kama paka mbwa wanakufa au hata wazee kwa umri wanaweza kufa kwa baridi huko Urusi hakufai kabisa kwenda.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu MziziMkavu naulizia hizi nchi za warabu nao wanapata hali kama hii??
 
Last edited by a moderator:
Baridi la iringa kumbe chamtoto!
Mji wa Erzurum nchini Turkey kwa hivi sasa ndio ulivyo angalia picha kisha fananisha na huko Mjini Iringa kwako Mkuu Mandigo

attachment.php

Nyumba za milimani anagalia njia ya Treni hiyo....

attachment.php

Hapo ni vijijini Erzurum

attachment.php

Hapo ni mjini Erzurum

attachment.php

Katikati ya mji unaweza kufananisha na bongo sehemu ya Mnazi mmoja hapo.Mkuu utafiti upo?
 
Attachments

  • 2kar-erzurum-a-geri-dondu.jpg
    2kar-erzurum-a-geri-dondu.jpg
    35.9 KB · Views: 351
  • erzurum-da-kar-yagisi.jpg
    erzurum-da-kar-yagisi.jpg
    16.6 KB · Views: 338
  • erzurum-palandoken.jpg
    erzurum-palandoken.jpg
    45.5 KB · Views: 342
  • Ezrum turkey.jpg
    Ezrum turkey.jpg
    7.6 KB · Views: 331
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom