Watoto kwenda kumfumania baba yao!

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Imetokea huko Longido, mkoani Arusha. Watoto wa kiume wakimsaidia mama yao aliamua kumfuata baba yao ambaye alikuwa nyumba ndogo kwenda kumfumania baba yao. Kwa bahati mbaya mzee akachoropoka na kutokomea ila bibie alikamatwa na bi mkubwa akisaidiana na watoto, tena akiwa mtupu wakampeleka kituoni. Kituoni wakashindwa kumfungulia mashtaka wakaamua kumwacha huru. Bibie akawa kama amepatwa na uchizi. Katoka nje ya kituo kaipasua vioo gari ya hao watoto aina ya suzuki na kuiacha na side mirror tu! Walipojaribu kumkamata hawakufanikiwa. Hivi ninapoandika si baba wala bibie anayejulikana alipo!
Ninachojiuliza mimi ni je ingekuwa ni mama yao, wangemsaidia mshua kwenda kwenye fumanizi? Na je wangemkuta mtupu? Kumbuka hawa ni watoto wa kiume. Na je watoto hawa wapo sahihi ama la?

nafikiri si sahihi hata kidogo kutumia watoto kwenye mifarakano ya wazazi maana inaweza tengeneza chuki isiyofutika maisha

Huu ushirikiano wa hatari...au mzee aliacha kutoa huduma nyumbani ndio maana vijana wakaamua kutolea uvivu.
Naomba kujua kama huyo bibie alitoka mbio kituoni bila nguo...

Kwanini akafumanie,
kwanini kuwa kichunga wa mwenzio?
Uliambiwa hapa duniani kuwa ni wa kwako peke yako huyo hata kama hakupendi unatumia nguvu?
Narudi tena kwani naona watu wanaendaenda tu,

Huu ushirikiano wa hatari...au mzee aliacha kutoa huduma nyumbani ndio maana vijana wakaamua kutolea uvivu.

Naomba kujua kama huyo bibie alitoka mbio kituoni bila nguo...

Naomba kujua kama huyo bibie alitoka mbio kituoni bila nguo...

Huyo bibie walimkuta mtupu, wakampa kichapo halafu wakampeleka kituoni hivyohivyo. Alipata msaada wa kanga kituoni. Na alipoondoka alikuwa ameivaa.

Kwanini akafumanie,

Uliambiwa hapa duniani kuwa ni wa kwako peke yako huyo hata kama hakupendi unatumia nguvu?

Narudi tena kwani naona watu wanaendaenda tu,

Nadhan Mzee alikuwa anaenda nje ya mstari mama akaamua kumrudisha kwa staili hiyo.

Back
Top Bottom