Watoto kuchelewa kuongea

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,770
Likes
97,782
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,770 97,782 280
Hili tatizo nimeliona sana katika familia za watu wa kipato cha kati, ninamaanisha wale wa nyumba za gate, watoto wanaachwa na house girl ikiwezekana wawili, mdada wa kukaa na watoto na mdada wa kufanya shughuli za ndani.

Watoto hawa wanatengwa wasicheze na watoto wenzao, wasifundishwe tabia mbaya, watoto hawa wazazi wanawaacha asubuhi na wanarudi usiku. Mdada aliyeachiwa watoto yuko busy kuangalia bongo movie na tamthilia.

Mtoto unakuta anafikisha miaka miwili na nusu hajaweza kuunganisha maneno mawili bado anaongea neon moja, pia unakuta mtoto wa miaka miwili na nusu bado anajisaidia kwenye pampers na wazazi bado wanaona ni kawaida.

Watoto wa Uswazi kwasababu ya kucheza pamoja, (hii haepukiki kwa kuwa wote wanaishi nyumba moja ya vyumba sita na mabanda ya uani) huanza kucheza pamoja pale wanapoanza kutambaa, kwakweli inawasaidia sana watoto kujenga social skills, kushare toys, kubuild self defence na pia kujenga upendo.
 
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,777
Likes
3,131
Points
280
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,777 3,131 280
Hii imenikuta kwa mtoto wangu , Mpaka amaefikisha miaka miwili na nusu alikuwa hajui kuongea vizuri nikashindwa kumpeleka shule.

Baadae ikabidi nimtoe nyumbani kwangu nimpeleke kwa shangazi yangu kwake ana wajukuu wengi japo napo ni gate kali ila watoto wapo wengi.

Alipokaa pale kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu nikaanza kuona changes hata nikiongea naye kwenye simu anaongea kitu kinachoeleweka. nilimuacha kwa miezi mitano kisha nikamchukua sasa hivi nikirudii kazini huwa ananisimulia kila kitu hata kama dada wa kazi alimchapa anasema tumrudishie.

Naunga mkono hoja ila sishauri kuruhusu watoto wakacheze na hawa wenzao wa uswahilini kwa sababu wanatabia za hovyo sana sijui huwa wanafundishwa na wazazi wao au huwa wanaiga tu bila kujua kuwa hili ni baya.
 
K

kibolibo

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
345
Likes
87
Points
45
K

kibolibo

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
345 87 45

Dadangu haya mambo ni magumu..
Nafikiri inabidi kuwe na checks and balances..
Nyie wanawake ndio wa kwanza kulete kwere za kufungia watoto ndani ka wanaatamia mayai..
Nimeliona hilimsehemu nyingi hata kwetu..
Dadangu huwa yuko sensirive ana litoto my nephew lina 7 years limezubaa ka msukuma wa geita..
Shemeji yangu I mean mme wake anambwambiaga mwache dogo aende kitaa amingle na watoto wenzie acheze maringi,acheze chandimu..aka mpira wetu wa kitaa etc..
Ila my sisy...namjua vizuri...atalialia,atacomplain mpaka mzee anakuwa mpole..
But inakera..
Na maeneo wanayoishi sio mabaya sana..ni Tegeta karibu na bunju..some kind of suburban lifestyles..
 
dalloboy

dalloboy

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
322
Likes
240
Points
60
Age
49
dalloboy

dalloboy

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
322 240 60
Hii imenikuta kwa mtoto wangu , Mpaka amaefikisha miaka miwili na nusu alikuwa hajui kuongea vizuri nikashindwa kumpeleka shule.

Baadae ikabidi nimtoe nyumbani kwangu nimpeleke kwa shangazi yangu kwake ana wajukuu wengi japo napo ni gate kali ila watoto wapo wengi.

Alipokaa pale kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu nikaanza kuona changes hata nikiongea naye kwenye simu anaongea kitu kinachoeleweka. nilimuacha kwa miezi mitano kisha nikamchukua sasa hivi nikirudii kazini huwa ananisimulia kila kitu hata kama dada wa kazi alimchapa anasema tumrudishie.

Naunga mkono hoja ila sishauri kuruhusu watoto wakacheze na hawa wenzao wa uswahilini kwa sababu wanatabia za hovyo sana sijui huwa wanafundishwa na wazazi wao au huwa wanaiga tu bila kujua kuwa hili ni baya.
Ubaguzi wa kijinga
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,587
Likes
31,137
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,587 31,137 280
hiii ni kweli lakini sasa tunafanyaje?
 
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Messages
3,367
Likes
7,197
Points
280
MIXOLOGIST

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2016
3,367 7,197 280
Yeah, umeongea kitu kinataka kufanana na ukweli, ila tafiti zaidi inahitajika, haya mambo ya kisayansi huwezi kuyatolea conclusion kirahisi namna hiyo, tafiti zifanyike, ni eneo zuri la kufanya tafiti
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,770
Likes
97,782
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,770 97,782 280
Yeah, umeongea kitu kinataka kufanana na ukweli, ila tafiti zaidi inahitajika, haya mambo ya kisayansi huwezi kuyatolea conclusion kirahisi namna hiyo, tafiti zifanyike, ni eneo zuri la kufanya tafiti
Sijafanya utafiti kwakweli na wala siwezi ku quantify hii kitu lakini ni kutokana na experience nilizokutana nazo na ndiyo maana nimeona tulijadili hapa, wataalamu wanaweza kulipeleka mbele Zaidi.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,770
Likes
97,782
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,770 97,782 280
Dadangu haya mambo ni magumu..
Nafikiri inabidi kuwe na checks and balances..
Nyie wanawake ndio wa kwanza kulete kwere za kufungia watoto ndani ka wanaatamia mayai..
Nimeliona hilimsehemu nyingi hata kwetu..
Dadangu huwa yuko sensirive ana litoto my nephew lina 7 years limezubaa ka msukuma wa geita..
Shemeji yangu I mean mme wake anambwambiaga mwache dogo aende kitaa amingle na watoto wenzie acheze?maringi,acheze chandimu..aka mpira wetu wa kitaa etc..
Ila my sisy...namjua vizuri...atalialia,atacomplain mpaka mzee anakuwa mpole..
But inakera..
Na maeneo wanayoishi sio mabaya sana..ni Tegeta karibu na bunju..some kind of suburban lifestyles..
Matatizo ya hizo shule za English medium wanakutana watoto wanaotoka katika maisha flani, ule msuba wa kusugua akili kuteneza mpira wa makaratasi mcheze hawaujui, wanaongelea computer games.

Tatizo linguine ni jiji kukosa viwanja vya michezo kwa watoto maeneo ya makazi ya watu, kama kungekuwa na viwanja vizuri ambavyo watoto wanakutana na wazazi wanakuwa karibu kuwaangalia ni muhimu.

Kwa kweli si mlaumu sana dada yako, dunia imeharibika sana, watoto wanafundishwa kuvuta bangi wakiwa wadogo, lakini pia katika maisha kuna risk unazokumbana nazo. Fikiria huyo mtoto wa dada yako anaweza kwenda kusoma boarding school akimaliza darasa la saba?
 
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
7,143
Likes
9,261
Points
280
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
7,143 9,261 280
Hii imenikuta kwa mtoto wangu , Mpaka amaefikisha miaka miwili na nusu alikuwa hajui kuongea vizuri nikashindwa kumpeleka shule.

Baadae ikabidi nimtoe nyumbani kwangu nimpeleke kwa shangazi yangu kwake ana wajukuu wengi japo napo ni gate kali ila watoto wapo wengi.

Alipokaa pale kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu nikaanza kuona changes hata nikiongea naye kwenye simu anaongea kitu kinachoeleweka. nilimuacha kwa miezi mitano kisha nikamchukua sasa hivi nikirudii kazini huwa ananisimulia kila kitu hata kama dada wa kazi alimchapa anasema tumrudishie.

Naunga mkono hoja ila sishauri kuruhusu watoto wakacheze na hawa wenzao wa uswahilini kwa sababu wanatabia za hovyo sana sijui huwa wanafundishwa na wazazi wao au huwa wanaiga tu bila kujua kuwa hili ni baya.
Tutake radhi watoto tuliokulia uswahilini, kule ndo kwetu Yale ndo maisha yetu hata kama utaponda ni yaliyojaa mabaya! Wengi wetu humu hatujakulia kwenye mageti na suala la tabia mbaya ni la mtoto mwenyewe na ushirika wa mzazi katika malezi yake! Bahati nzuri babangu hakuwaga na uwezo wa kunilea geti Kali kipindi hiko ila kakake alikua na uwezo sana full geti maisha ya gari na viyoyozi vya kizamani,ila Leo hii ukiwaona watoto wake walivyoharibika kwa tabia mbaya walizofunzwa kwa kufungiwa magetini huwezi mtukana mtoto wa uswazi kama mimi ambaye nakifurahia kitaa kwa kunijuza mema na mabaya
 
Na wale watoto wanaodendeka visichana kwa visichana +vivulana kwa vivulana kwenye ma school bus wako salama? Suala la Malezi ni kuwaombea watoto wako Mungu awe mlinzi wa kwanza kwao na si maisha ya geti Kali, lakini pia fuatilia mienendo yake kwa ukaribu, maisha haya tunayowapa watoto ya kuwafungia fungia na kuwaacha na Tv pekee kama kitu cha faraja kwao ndio hupelekea watoto kuangukia kwenye utazamaji wa filamu za ngono na ushoga +the lack of social skills
 
Ninaelewa unachoomanisha mkuu, cha kwanza ni kumhimiza mtukufu mkuu wa mkoa atuwekee viwanja vya michezo katika maeneo tunayoishi pia viwanja hivi vi boreshwe kwa viwango flani, kodi si tunalipa bwana.

Unanikumbusha pia mazungumzo baada ya habari enzi za mchonga, kuna baba alikuwa anaishi uzunguni, alipita uswahilini akakuta mtoto anatukana, alicheka sana akasema wa kwangu hawezi kutamka maneno haya. Akiwa nyumbani kuna siku alimsikia mtoto wake akitukana alilia sana, akajiuliza kuwa hii tabia amejifunzia wapi? Alisahau kuwa enzi zile za ujamaa watoto walisoma pamoja na kusocilize pamoja.
 
Hili ni janga lingine la maisha lina kuja, kuna binti wa miaka 14 alikiri ameshalala na wanaume zaidi ya kumi na aliye anza nae alikuwa house boy, wazazi walikuwa watu wa kusafiri sana, baada ya kunogewa na mchezo mtoto alimtongoza dereva wa school bus, dereva akawa anamshusha yeye wa mwisho, alivyonogewa aliendelea, yeye haangalii status anaangalia nani atamaliza shida zake, awe muuza nyanya gengeni au machinga, yeyote yule.
 
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,777
Likes
3,131
Points
280
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,777 3,131 280
Tutake radhi watoto tuliokulia uswahilini, kule ndo kwetu Yale ndo maisha yetu hata kama utaponda ni yaliyojaa mabaya! Wengi wetu humu hatujakulia kwenye mageti na suala la tabia mbaya ni la mtoto mwenyewe na ushirika wa mzazi katika malezi yake! Bahati nzuri babangu hakuwaga na uwezo wa kunilea geti Kali kipindi hiko ila kakake alikua na uwezo sana full geti maisha ya gari na viyoyozi vya kizamani,ila Leo hii ukiwaona watoto wake walivyoharibika kwa tabia mbaya walizofunzwa kwa kufungiwa magetini huwezi mtukana mtoto wa uswazi kama mimi ambaye nakifurahia kitaa kwa kunijuza mema na mabaya
Mkuu nisamehe kwa kukuudhi , Naomba uniwe radhi sana.

Kwa kweli hata mimi sikukulia kwenye maisha ya geti kali ila katika zama zetu hatukuwa na michezo ya ajabu sana kama sasa watoto wa sasa hivi.

Hii hali niliyoizungumzia ni ile ya kule ninapoishi mimi sijui kwa mitaa mingine hali ipoje.
Kila siku kuna kesi za wazazi wenye watoto wa kike kuwa mtoto wao kaingizwa kijiti na kitoto cha kiume cha jirani mwengine. Au kuna siku mke wangu alivishuhudia vitoto vikiwa vinagegedana tena havijafika hata umri wa miaka mitano hivi haujiulizi hawa watoto hii michezo wanaiona wapi?

Wazazi wanachumba kimoja mtoto ana miaka minne wakifanya mapenzi usiku mtoto kama hajalala vizuri anaona kila kitu so akiamka naye anataka kupractise kwa wenzie.

Nina mtoto wa kike mkuu so hizi tabia ndizo zilizonitisha kwa hawa watoto wa huku uswahilini kwetu. Sitaki kusikia hata kidogo mtoto wangu ametoka nje ya geti .

Bora aje aharibikie ukubwani kuliko sasa hivi tena wakati mweingine mpaka huwa vinatoana damu kwa hivyo vijiti.
Sitaki kugombana na majirani zangu kwa ajili ya watoto kwa jinsi nilivyo na hasira naweza nikamfunga mtu jela then majirani wote wanione mimi mbaya .

Bora nusu shari kuliko shari kamili . Mtoto wangu akitoka shule ni ndani tu mpaka kesho yake aende shule .
Atacheza game atasikilizwa qaswida kwenye lap top,ataangalia cartoons mpaka atasinzia ila sio kwenda kucheza na vile vitoto maana vinabikiri wenzao katika umri mdogo sana.
 
Hii sasa ni social economical factors, tena hivi vitoto vikishajua mtakacho fanya anajikunja kitandani unafikiri amelala kumbe anakungoja aangalie sarakasi unazofanya.
 
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
7,143
Likes
9,261
Points
280
LadyAJ

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
7,143 9,261 280
Hili tatizo nimeliona sana katika familia za watu wa kipato cha kati, ninamaanisha wale wa nyumba za gate, watoto wanaachwa na house girl ikiwezekana wawili, mdada wa kukaa na watoto na mdada wa kufanya shughuli za ndani.

Watoto hawa wanatengwa wasicheze na watoto wenzao, wasifundishwe tabia mbaya, watoto hawa wazazi wanawaacha asubuhi na wanarudi usiku. Mdada aliyeachiwa watoto yuko busy kuangalia bongo movie na tamthilia.

Mtoto unakuta anafikisha miaka miwili na nusu hajaweza kuunganisha maneno mawili bado anaongea neon moja, pia unakuta mtoto wa miaka miwili na nusu bado anajisaidia kwenye pampers na wazazi bado wanaona ni kawaida.

Watoto wa Uswazi kwasababu ya kucheza pamoja, (hii haepukiki kwa kuwa wote wanaishi nyumba moja ya vyumba sita na mabanda ya uani) huanza kucheza pamoja pale wanapoanza kutambaa, kwakweli inawasaidia sana watoto kujenga social skills, kushare toys, kubuild self defence na pia kujenga upendo.
Binafsi naishi maisha ya kipato cha kati naishi temeke sio Masaki, watoto wangu woote huwachaganya na watoto wa mtaa wangu kwa kuwapangia ratiba maalum,siku 5 za wiki huyu mkubwa age 6 huwa shule anachelewa kurudi ila weekend jmos asubuhi hufua soksi zake singlendi na kusafisha viatu vyake kisha by saa 4 namuacha akacheze mpaka saa 7akirudi hapo anakula anapumzika alafu analala mchana mpaka saa 10-11 then tunafanya homework, kwenye hayo Masaa ma 3 ya kucheza kuna kutumwa dukani like kununua vocha etc. Huyu mwenye miaka mi 2 (ambaye anatimiza mwezi Dec ) yeye anapata muda mwingi tu wa kucheza na wenzie wa umri wake almost all the time kasoro muda wa kula na kulala mchana, simbani saana yuko active anachangamka anaongea huyo hatari nae Mungu akijaalia mwakani shule ili nipate muda wa kuhangaika na Dada yao ka binti kangu ka pekee ambako kana miezi mi 3, nafanya haya huku nikijua kuna siku sitakuwepo sitataka kuwaachia mzigo watu wengine nataka wazoee watu wa aina zote vipato vyote, wajue namna ya kujilinda na kujitetea
 
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,777
Likes
3,131
Points
280
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,777 3,131 280
Ninaelewa unachoomanisha mkuu, cha kwanza ni kumhimiza mtukufu mkuu wa mkoa atuwekee viwanja vya michezo katika maeneo tunayoishi pia viwanja hivi vi boreshwe kwa viwango flani, kodi si tunalipa bwana.

Unanikumbusha pia mazungumzo baada ya habari enzi za mchonga, kuna baba alikuwa anaishi uzunguni, alipita uswahilini akakuta mtoto anatukana, alicheka sana akasema wa kwangu hawezi kutamka maneno haya. Akiwa nyumbani kuna siku alimsikia mtoto wake akitukana alilia sana, akajiuliza kuwa hii tabia amejifunzia wapi? Alisahau kuwa enzi zile za ujamaa watoto walisoma pamoja na kusocilize pamoja.
Sure kabisa ulichokiandika kina mashiko.

Tunawalea hawa watoto kwa kuwachunga sana ila wanapokuwa huko kwenye shule zao bado wanaharibika tena. Kwa sababu hata watoto wa geti kali kuna wengine nyumbani hawana ulinzi mzuri wa wazazi.

Unakuta beki tatu anaangalia upuuzi pale na katoto kanaangalia end of the day naye anatka kwenda kucheza na wenzie shuleni.

Tumuombe Mungu ajaalie na atulindie hiki kizazi chetu maana kwa huu utandawazi wa sasa hivi wala huwezi kukwepa mmomonyoko wa maadili kwa watoto.
 
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,818
Likes
3,879
Points
280
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,818 3,879 280
Hili tatizo nimeliona sana katika familia za watu wa kipato cha kati, ninamaanisha wale wa nyumba za gate, watoto wanaachwa na house girl ikiwezekana wawili, mdada wa kukaa na watoto na mdada wa kufanya shughuli za ndani.

Watoto hawa wanatengwa wasicheze na watoto wenzao, wasifundishwe tabia mbaya, watoto hawa wazazi wanawaacha asubuhi na wanarudi usiku. Mdada aliyeachiwa watoto yuko busy kuangalia bongo movie na tamthilia.

Mtoto unakuta anafikisha miaka miwili na nusu hajaweza kuunganisha maneno mawili bado anaongea neon moja, pia unakuta mtoto wa miaka miwili na nusu bado anajisaidia kwenye pampers na wazazi bado wanaona ni kawaida.

Watoto wa Uswazi kwasababu ya kucheza pamoja, (hii haepukiki kwa kuwa wote wanaishi nyumba moja ya vyumba sita na mabanda ya uani) huanza kucheza pamoja pale wanapoanza kutambaa, kwakweli inawasaidia sana watoto kujenga social skills, kushare toys, kubuild self defence na pia kujenga upendo.
Ni kweli na pia si kweli.

Ni kweli kwamba mtoto kadri anavyojichanganya na watoto wenzake anachangamka.
Lakini pia hata kama hakuna watoto ni ishu ya kupenda kuongea na mwanao mara kwa mara, kuwa naye ukitoka kazini mfano kuwa naye, cheza naye, jifanye hamnazo kama mtoto anavyotaka, mfano wangu anaweza kuanza cooing namuiga, kuchezesha mdogo(prrrrrr) namuiga, kukucha mdomo na pua namuiga, au wakati mwingine naanzisha mimi naye ananiiga, hii humjengea mtoto uwezo pia pamoja na kuwa yupo ndani ya geti. Mimi ndicho nachofanya pamoja na kuwa getini hadi nikitoka naye nje akiona watu wengi analia lakini najitahidi kucheza naye, kwa sasa ana miezi 8 lakini ameshaanza kutamka baba, agiiiii (sitaki, hii nikimlazimisha kitu ambacho hataki). Naamini hadi atimize mwaka na nusu atakuwa anaongea vizuri kabisa.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,770
Likes
97,782
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,770 97,782 280
Binafsi naishi maisha ya kipato cha kati naishi temeke sio Masaki, watoto wangu woote huwachaganya na watoto wa mtaa wangu kwa kuwapangia ratiba maalum,siku 5 za wiki huyu mkubwa age 6 huwa shule anachelewa kurudi ila weekend jmos asubuhi hufua soksi zake singlendi na kusafisha viatu vyake kisha by saa 4 namuacha akacheze mpaka saa 7akirudi hapo anakula anapumzika alafu analala mchana mpaka saa 10-11 then tunafanya homework, kwenye hayo Masaa ma 3 ya kucheza kuna kutumwa dukani like kununua vocha etc. Huyu mwenye miaka mi 2 (ambaye anatimiza mwezi Dec ) yeye anapata muda mwingi tu wa kucheza na wenzie wa umri wake almost all the time kasoro muda wa kula na kulala mchana, simbani saana yuko active anachangamka anaongea huyo hatari nae Mungu akijaalia mwakani shule ili nipate muda wa kuhangaika na Dada yao ka binti kangu ka pekee ambako kana miezi mi 3, nafanya haya huku nikijua kuna siku sitakuwepo sitataka kuwaachia mzigo watu wengine nataka wazoee watu wa aina zote vipato vyote, wajue namna ya kujilinda na kujitetea
Ninakuelewa mkuu, kingine ni kuwaonya na kuwaasa kwa vitu kama, hakuna mtu yeyote mwenye ruhusa ya kugusa sehemu zako za siri, na kinachokutokea huko chochote niambiea usiogope.
 
Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304