Watoa rushwa wakipitishwa CCM tutaupigia upinzani

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Chonde chonde Wajumbe wa Vikao vya kupitisha majina ya wagombea Ubunge, tunawatahadharisha mapema, mkiwabeba watoa rushwa kwa kisingizio cha funika kombe mwanaharamu apite au eti wagombea walizidiana kura Tunawapigia Wapinzani.

CCM Suala la Rushwa tumeutangazia ulimwengu kuwa tunapambana nal. Leo iweje rushwa ndani ya chama tushindwe kupambana nayo?

Watanzania wote wanajua jinsi wagombea wa CCM walivyoshinda kwa rushwa kwenye majimbo yao, je wakati wa kampeni wananchi tutawambia nini juu ya vita dhidi ya rushwa wakati sisi wenyewe ni watoa na wapokea rushwa?

Agenda ya rushwa wapinzani wataitumia kwa nguvu zao zote. Watoa rushwa wasipitishwe kugombe ubunge au udiwani wamekichafua chama.
 
CCM bana, hao wabunge na madiwani wa upinzani mlikuwa mnatoa viazi!!
 
Afadhali wewe umekubali kua wapo ingawa sio wote, hebu sema ukweli wa Mungu na sio wa shetani, labda wapo asilimia ngapi, tuone kama sio wote!
Kwa maana ya kura za maoni za mwaka huu, washindi namba 1-3 au hata 5walishinda kwa kuhonga wajumbe..ni kama 85% ya wote kati yao waliopata namba hizo.
 
Kwa kuwa wote wametoa rushwa, tutawaadhibu wale waliotoa rushwa hafifu.
 
Iko video u-tube ya baadhi ya wajumbe wa eneo flani la uchaguzi wakituhumuiwa kupokea rushwa kwenye gari/magari yaliyoegeshwa. Takukuru wakiwa wabunifu watagundua jinsi wapokea rushwa wanavyo behave mara tu ya kupokea bahasha.

Ukiangali body language yao, kuanzia mwendo, mikono, uso unavyonekana nk. Wakati umefika takukuru watumie ile video kujiongezea maarifa ya utambuzi.
 
Chonde chonde Wajumbe wa Vikao vya kupitisha majina ya wagombea Ubunge, tunawatahadharisha mapema, mkiwabeba watoa rushwa kwa kisingizio cha funika kombe mwanaharamu apite au eti wagombea walizidiana kura Tunawapigia Wapinzani.

CCM Suala la Rushwa tumeutangazia ulimwengu kuwa tunapambana nal. Leo iweje rushwa ndani ya chama tushindwe kupambana nayo?

Watanzania wote wanajua jinsi wagombea wa CCM walivyoshinda kwa rushwa kwenye majimbo yao, je wakati wa kampeni wananchi tutawambia nini juu ya vita dhidi ya rushwa wakati sisi wenyewe ni watoa na wapokea rushwa?

Agenda ya rushwa wapinzani wataitumia kwa nguvu zao zote. Watoa rushwa wasipitishwe kugombe ubunge au udiwani wamekichafua chama.

Ccm = rushwa
 
Mkuu takukuru ni kama wamewaogopa sisiemu, wamesema suala hilo wanaliachia chama kuamua

Suala hili ni tete mno na linahita hikima ya hali ya juu. Kwanza wako walioingia kwenye mkumbo wa rushwa kwasababu anaona wengine wanatoa na wajumbe wanamwambia mkono mtupu haulambwi.

Pili uko mfumo wa hovyo sana. Wabunge kwa vile wao ni watunga sheria wanajipa kiinua mgogongo kila baada ya miaka mitano. Haijalishi ataendelea au haendelei. Hizi fedha za kiinua mgongo cha Wabunge ni moja ya kichocheo kikubwa sana cha rushwa wakati wa uchaguzi. Tufikie mahali iwe Mbunge anayepewa kiinua mgongo ni yule aliyesema anastaafu na atakaye shindwa kwenye uchaguzi tu. Wanaoendelea wasipewe wasubirie mwisho wa safari yao, kutafutwe kikokoteo kitakacho husisha muda aliotumikia kama Mbunge. Hii itakuwa ngumu kidogo kwasababu ya msigano wa maslahi na wabunge ndio watunga sheria lakini Mkuu wa nchi au hata jopo la watu wanaoheshimika katika jamii wapewe kisheria Veto juu ya Bunge.

Hiki kinua mgongo cha wabunge kwa staili hii ya sasa ni dhuluma hata kwa wafanyakazi wengine, si haki hata kidogo ni kama wamejipendelea flani hivi kila baada ya miaka mitano unachukua kinua mgongo halafu unarudi kwenye kazi hiyohiyo miaka mingine mitano.

Pia tufike mahali tuachane na huu utaratibu wa Waziri lazima awe Mbunge. Hili ni tatizo jingine. Unakuta waziri ni mahiri katika utendaji wake na Rais anataka aendelee naye. Kwenye mchakato wa ubunge katoa rushwa. Na takukuru wamejua hilo, watafanyaje zaidi ya kuwarudishia chama wa amue maana Rais ni Mkt wa chama.

Yako mengi ngoja niache kwanza. Hapa Nakasukari Lupaso tetemeko halikusikika sana lilokuwa ni manyumanyu tu.
 
Chonde chonde Wajumbe wa Vikao vya kupitisha majina ya wagombea Ubunge, tunawatahadharisha mapema, mkiwabeba watoa rushwa kwa kisingizio cha funika kombe mwanaharamu apite au eti wagombea walizidiana kura Tunawapigia Wapinzani.

CCM Suala la Rushwa tumeutangazia ulimwengu kuwa tunapambana nal. Leo iweje rushwa ndani ya chama tushindwe kupambana nayo?

Watanzania wote wanajua jinsi wagombea wa CCM walivyoshinda kwa rushwa kwenye majimbo yao, je wakati wa kampeni wananchi tutawambia nini juu ya vita dhidi ya rushwa wakati sisi wenyewe ni watoa na wapokea rushwa?

Agenda ya rushwa wapinzani wataitumia kwa nguvu zao zote. Watoa rushwa wasipitishwe kugombe ubunge au udiwani wamekichafua chama.
Wagombea wote waliopita kwa rushwa mnaweza kuwakata,sifahamu wajumbe waliopokea rushwa nao mtawafanya nini?Hao wajumbe si ndio wapiga debe huko majimboni?Wapiga kura tunawafahamu wajumbe waliopokea rushwa na sina uhakika watatuelezaje kukichagua chama chenu na wagombea wake kuanzia wa udiwani,ubunge na hata Urais ambapo chama kilichapisha fomu moja tu na mgombea wenu anagawa fedha kama njugu kila anakopita.
Tunawatahadharisha CCM Mpya,msidhani Watanzania ni wajinga sana.Tunafahamu kila kitu ila hatuna jukwaa la kusemea machungu yetu.Tutatumia sanduku la kura kuwaonyesha aina ya viongozi tunaowahitaji,msibadili matokeo halali kwa haramu.
 
Chonde chonde Wajumbe wa Vikao vya kupitisha majina ya wagombea Ubunge, tunawatahadharisha mapema, mkiwabeba watoa rushwa kwa kisingizio cha funika kombe mwanaharamu apite au eti wagombea walizidiana kura Tunawapigia Wapinzani.

CCM Suala la Rushwa tumeutangazia ulimwengu kuwa tunapambana nal. Leo iweje rushwa ndani ya chama tushindwe kupambana nayo?

Watanzania wote wanajua jinsi wagombea wa CCM walivyoshinda kwa rushwa kwenye majimbo yao, je wakati wa kampeni wananchi tutawambia nini juu ya vita dhidi ya rushwa wakati sisi wenyewe ni watoa na wapokea rushwa?

Agenda ya rushwa wapinzani wataitumia kwa nguvu zao zote. Watoa rushwa wasipitishwe kugombe ubunge au udiwani wamekichafua chama.
Hivi mwenyekiti ataanzaje kuwatuhumu, wagombea kwa kutoa rushwa wakati yeye na timu yake wametoa rushwa ya vyeo, na pesa kwa wapinzani ili waunge mkono juhudi
 
Ambaye hakupata kura hata moja yaani 0. Huyo ndo hakutoa Rushwa kwa upande wa CCM. Kila mjumbe aliyetoa kura yake alilipwa na hakuna ambaye aliitoa bure
Hata waliopata kura 0 pia walitoa au kupokea kwa njia moja ama nyingine,hakuna msafi huko CCM.Ndiyo maana hata Lowassa aliporudi nyumbani walimsifia sana kuwa pamenoga.Sasa hivi anakula matunda ya nchi kwa mrija under Jiwe's supervision maana yeye ndiye anawapimia wapokee kiasi gani kulingana na nafasi zao.
Rushwa na CCM ni kama samaki na maji,ukiwanyima rushwa wanakufa hakika.Ndiyo sababu hapa nchini licha ya uwepo wa rushwa na mahakama maalum ya kuishughulikia lakini hakuna wateja na hata mashtaka ya rushwa yamelundikwa Kisutu.Usanii tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom