Uchaguzi 2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo.

Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama wanayabariki, unategemea nini kwenye keki tamu, keki ya Ubunge, Urais na udiwani pia?!!

Nina uhakika kama kuna uchaguzi wa huru na haki, CHADEMA itafanya vizuri sana.

Upinzani Utashinda lakini anatangazwa wa CCM/CUF/NCCR au polisi atakimbia na sanduku la kura, mawakala watazuiwa kuingia kwenye chumba cha kupigia kura etc.

Tupeni majibu ya hili, vinginevyo it is a waste of time and your meager resources!
 
Hii ni kweli kabisa bila tume huru na yenye kutenda haki, kushiriki uchaguzi kwa wapinzani ni kupoteza muda na pesa
 
Ni lazima na sio ombi wanatakiwa waanze kwanza kugombea Tume huru/Katiba mpya ndipo waje kugombea ndani ya uchaguzi huru na kama sio hivyo basi wanataka kujaribu ya Ngamia kupita kwenye tundu la sindano, kwanini hawalioni hilo kwanza na upofu huu unawapata kwa sababu gani wakati mfano hai wanao toka kwenye chaguzi za serikali za mitaa?
 
Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo.

Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama wanayabariki, unategemea nini kwenye keki tamu, keki ya Ubunge, Urais na udiwani pia?!!

Nina uhakika kama kuna uchaguzi wa huru na haki, CHADEMA itafanya vizuri sana.

Upinzani Utashinda lakini anatangazwa wa CCM/CUF/NCCR au polisi atakimbia na sanduku la kura, mawakala watazuiwa kuingia kwenye chumba cha kupigia kura etc.

Tupeni majibu ya hili, vinginevyo it is a waste of time and your meager resources!
Na sisi nguvu ya wananchi tuweke support kubwa kuzuia udhalimu wa ccm.
 
Na sisi nguvu ya wananchi tuweke support kubwa kuzuia udhalimu wa ccm.
Watanzania hakuna aliye tayari kufa. Tu waoga sana na kifo. Tukiondoa woga mbona kila kitu kitakwenda salama
 
Watanzania hakuna aliye tayari kufa. Tu waoga sana na kifo. Tukiondoa woga mbona kila kitu kitakwenda salama. Kwa sababu lazima polisi waue kukiwa na resistance to injustice, tuko tayari kufa?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom