Watia nia CCM kuungana na kuwa makundi matano

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,455
29,134
Habari ambazo bado chanzo changu hakijazithibitisha ni kuwa kuna watia nia ambao wamenunuliwa ili wajiunge na ile kambi ya "MZEE" ili hatimae wabaki watano ili ile CC ishindwe kumuondoa maana itakua imefika idadi yao ya kupeleka mbele.

Sasa kwa kuwa MZEE ana wasiwasi wa kukatwa jina amekua akifanya kila awezalo kueza kushawishi watia nia wengine nao wajiunge nae na ndio maana sasa unaona wanajitokeza wengi.

Kumbuka lile tukio LA kigwangala aliekua nafasi ya tatu kupewa kugombea kule kwao ndilo mzee analiogopa. Aidha chanzo kimetanabaisha kuna watu ambao dau lao la kumchomoa limefikia mpaka bilioni nne lakn MZEE kafikia bilioni 1.

Tusubiri Mwaka huu tutaona mengi
 
Duh sijui na mimi nitangaze nia bilion 1 si mchezo unaweza kuanzisha biashara ukatoka nikifa na mimi waniite bilionea wa Arusha afariki katika harakati za kusaka wadhamini.
 
Thibitisha unaloliongea ili utushawishi na bandiko lako
Maana watanzania wanasifika kwa kuongeza vitu chumvi na unafki. Tanzania ni number 1.
 
Habari ambazo bado chanzo changu hakijazithibitisha ni kuwa kuna watia nia ambao wamenunuliwa ili wajiunge na ile kambi ya "MZEE" ili hatimae wabaki watano ili ile CC ishindwe kumuondoa maana itakua imefika idadi yao ya kupeleka mbele.

Sasa kwa kuwa MZEE ana wasiwasi wa kukatwa jina amekua akifanya kila awezalo kueza kushawishi watia nia wengine nao wajiunge nae na ndio maana sasa unaona wanajitokeza wengi.

Kumbuka lile tukio LA kigwangala aliekua nafasi ya tatu kupewa kugombea kule kwao ndilo mzee analiogopa. Aidha chanzo kimetanabaisha kuna watu ambao dau lao la kumchomoa limefikia mpaka bilioni nne lakn MZEE kafikia bilioni 1.

Tusubiri Mwaka huu tutaona mengi

Rubbish of all time, hiyo stoty kampigie mke wako
 
Ccm makini haiwezi kuungana na mwizi,na wale watakao tusaliti watakuwa wamechagua fungu lao lkn wajue hiyo dhambi itawahuku.
 
Thibitisha unaloliongea ili utushawishi na bandiko lako
Maana watanzania wanasifika kwa
kuongeza vitu chumvi na unafki. Tanzania ni number 1.

Inawezekana kabisa Huyu mzee anatafuta nini ikulu kwa kupitia njia chafu kama hizi? CCM imemeguka kwa SBB ya makundi anayoyatengeneza ndani ya chama,amediriki adi kutaka kumvua wenyekiti wa chama kikwete ss ameanza tena kununua wagombea,CCM fumba macho futa hii takataka,
 
Jamani shirikisheni akili zenu hata kidogo basi...huu ni uwongo.....hivi lowassa ana hizo pesa zote? achene ujinga basi.
 
Ujinga wa Mamvi anadhani Pesa ndio Kila kitu.[/QUOTE

Amenunu wa kumshangili wakati wa kutafuta wazamini akaona haimtoshi,ameanza tena kununua wagombea je anatafuta mini?kama anajiamini Kuwa anasifa kwanini asitulie kama wengine? CCm ikimpitisha nyerere atafufuka au ccm life tu tunusulike na jambazi Huyu.
 
bila shaka ikulu ya Tanzania inazidi pepo ! haiwezekani pesa itumike kiasi hiki !
 
habari ambazo bado chanzo changu hakijazithibitisha ni kuwa kuna watia nia ambao wamenunuliwa ili wajiunge na ile kambi ya "mzee" ili hatimae wabaki watano ili ile cc ishindwe kumuondoa maana itakua imefika idadi yao ya kupeleka mbele.

Sasa kwa kuwa mzee ana wasiwasi wa kukatwa jina amekua akifanya kila awezalo kueza kushawishi watia nia wengine nao wajiunge nae na ndio maana sasa unaona wanajitokeza wengi.

Kumbuka lile tukio la kigwangala aliekua nafasi ya tatu kupewa kugombea kule kwao ndilo mzee analiogopa. Aidha chanzo kimetanabaisha kuna watu ambao dau lao la kumchomoa limefikia mpaka bilioni nne lakn mzee kafikia bilioni 1.

Tusubiri mwaka huu tutaona mengi

inaonekana unajua sana utungaji.
 
Jamaa kweli artist anatumia vizuri ule usemi kwenye uzia penyeza rupia...
Ni ktk ile kauli ya jk nyerere rushwa hupofusha ...inawezekana tu akapita
 
inaonekana unajua sana utungaji.

Sawa ila hesabu siku utaona mmoja mmoja wanavyojiunga na "MZEE" ndo aibu itakua yako. Kuna watu ambao hutawadhania utawaskia wakimuunga mkono "MZEE"
 
Back
Top Bottom