Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,152
Habari ambazo bado chanzo changu hakijazithibitisha ni kuwa kuna watia nia ambao wamenunuliwa ili wajiunge na ile kambi ya "MZEE" ili hatimae wabaki watano ili ile CC ishindwe kumuondoa maana itakua imefika idadi yao ya kupeleka mbele.
Sasa kwa kuwa MZEE ana wasiwasi wa kukatwa jina amekua akifanya kila awezalo kueza kushawishi watia nia wengine nao wajiunge nae na ndio maana sasa unaona wanajitokeza wengi.
Kumbuka lile tukio LA kigwangala aliekua nafasi ya tatu kupewa kugombea kule kwao ndilo mzee analiogopa. Aidha chanzo kimetanabaisha kuna watu ambao dau lao la kumchomoa limefikia mpaka bilioni nne lakn MZEE kafikia bilioni 1.
Tusubiri Mwaka huu tutaona mengi