Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
- Thread starter
- #21
Jamaa kweli artist anatumia vizuri ule usemi kwenye uzia penyeza rupia...
Ni ktk ile kauli ya jk nyerere rushwa hupofusha ...inawezekana tu akapita
Kuna Mtia-nia mtarajiwa mmoja kutoka mikoa ya kusini ambae bado hajajitangaza. Mpaka sasa wanavutana na MZEE sababu mtia nia mtarajiwa huyo anaamini kua yeye anaweza kuwapiku wenzake 33 waliotanglia sababu ya uswahiba wake na Mkulu hivyo hadhani kama dau lolote kutoka kwa Mzee laweza kumshawishi kuacha kuchukua. Huyu pia anapata kichwa kutoka kwa baadhi ya marafiki wa MZEE ambao wanaonekana kua double standard.
Kuchelewa kuchukua form kwa mtarajiwa huyo ni sababu ya negotiations zinazoendelea. Hutaki Unaacha
Last edited by a moderator: