MutaraRudahigwa
Member
- Dec 3, 2008
- 14
- 1
We have got only one year kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010,binafsi nafikiri ni wazo zuri kama tufanya analysis ya wagombea wetu hasa upande wa ngazi ya President ,at least wapinga kura ambo ni sisi tuwe na data za wagombea kabla ya wao kujinadi kwetu,naamini kabisa wakati wa kujinadi kwao kwetu hakuna atakae sema udhaifu wake, only atajinadi kwa usafi wake ili watu wampe kura ya ndio.2010 twahitaji viongozi wasafi,so nijukumu letu kuelimishana(kupeana data) ili watu tuwe makini tusije fanya makosa,na sehemu muafaka ni hapa JF na si kwingine kwa sababu hakuna sehemu ambayo tunaweza kukutana na kupeana taarifa kwa pamoja.
Leo tuanze na Chadema:
Mgombea; Freemanmbowe kama hakutakuwa na mabadiliko(kuna kifo jamani)
(1) Je huyu mpiganaji anatufaa kweli? kwa vigezo vipi?
(2) Je mpiganaji huyu kweli ni msafi ndani ya chama chake,kuna tetesi jamaa
ni fisadi ndani ya chama chake
(3) Au Dr. Slaa asimame badala ya Mbowe,coz at least tumoena jamaa alivyo
makini
Next CCM kama hakutakuwa na mabadiliko Mrisho Jakaya Kikwete.