Wateule Wetu na uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateule Wetu na uchaguzi 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MutaraRudahigwa, Feb 6, 2009.

 1. M

  MutaraRudahigwa Member

  #1
  Feb 6, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We have got only one year kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010,binafsi nafikiri ni wazo zuri kama tufanya analysis ya wagombea wetu hasa upande wa ngazi ya President ,at least wapinga kura ambo ni sisi tuwe na data za wagombea kabla ya wao kujinadi kwetu,naamini kabisa wakati wa kujinadi kwao kwetu hakuna atakae sema udhaifu wake, only atajinadi kwa usafi wake ili watu wampe kura ya ndio.2010 twahitaji viongozi wasafi,so nijukumu letu kuelimishana(kupeana data) ili watu tuwe makini tusije fanya makosa,na sehemu muafaka ni hapa JF na si kwingine kwa sababu hakuna sehemu ambayo tunaweza kukutana na kupeana taarifa kwa pamoja.
  Leo tuanze na Chadema:
  Mgombea; Freemanmbowe kama hakutakuwa na mabadiliko(kuna kifo jamani)
  (1) Je huyu mpiganaji anatufaa kweli? kwa vigezo vipi?
  (2) Je mpiganaji huyu kweli ni msafi ndani ya chama chake,kuna tetesi jamaa
  ni fisadi ndani ya chama chake
  (3) Au Dr. Slaa asimame badala ya Mbowe,coz at least tumoena jamaa alivyo
  makini

  Next CCM kama hakutakuwa na mabadiliko Mrisho Jakaya Kikwete.
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huyo hafai kuwa raisi hadi alipofikia nafikiri anaweza kuwekwa kwenye taasisi za uchunguzi kwa ufupi hawa CHADEMA wote wanafaa katika mambo yanayohusiana na ukachero na wizara zake,wakabidhiwe wizara zihusikazo na mambo hayo-ni maoni yangu.
   
Loading...