Waterguard

Judy

Senior Member
Aug 13, 2007
191
4
Naomba nieleweshwe jamani, najua penye wengi hakiharibiki jambo.

Hivi kuna athari gani kwa kutumia maji ya kunywa yaliyokuwa treated na waterguard. Kimsingi wasiwasi wangu ni kwamba hii hii waterguard ukilowekea ngua nyeupe yenye madoa sugu yanaondoka. sasa napata utata kama inaweza kuondoa madoa kwa kasi kama jiki je huko tumboni nikinywa maji haya inakuwaje?
 
Don't worry, hope huzidishi the recommended amount of 1 tab or kifuniko kwa what ever specified quantity of water.
Water guard na Jik zote ni chlorine based, na uzuri wa chlorine ina evaporate.

Cha kujiuliza
1. After how long the so treated water with chlorine could be considered safe!
Ni utaratibu wa familia zilizo nyingi kuchemsha maji/kuweka dawa maji kwa wingi (saa nyingine ndoo kumi), na kuyatumia hayo maji kwa takribani wiki nzima! kupigia mswaki, kunywa, n.k
 
Naomba nieleweshwe jamani, najua penye wengi hakiharibiki jambo.
Hivi kuna athari gani kwa kutumia maji ya kunywa yaliyokuwa treated na waterguard. Kimsingi wasiwasi wangu ni kwamba hii hii waterguard ukilowekea ngua nyeupe yenye madoa sugu yanaondoka. sasa napata utata kama inaweza kuondoa madoa kwa kasi kama jiki je huko tumboni nikinywa maji haya inakuwaje?
kama ni hivyo simply itasafisha tumbo na kutowa madowa yote ya tumboni!
 
Back
Top Bottom