Watendaji s/mitaa watozwa faini ya 50,000tsh @

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
Ni mkuu wa wilaya ya kilombero akiwa katika ziala yakikazi katika kata ya mlimba wilaya ya kilombero amewatoza faini ya kiasi tajwa hapo juu wenyeviti wa vijiji na watendaji wa vijiji vya mlimba na kamwene kutokana na uzembe kuwahamasisha wananchi kufanya usafi katika maeneo yao hasa pembeni mwa barabara kuu , katika hatua nyingine mkuu huyo wa wilaya ameagiza duka la madawa lililopo jirani kabisa na hospitali lifungwe mara moja...
 
Back
Top Bottom