mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Nimeleta Uzi huu niliamini maafisa utumishi na ofisi za tamisemi wazembe na Leo imethibitisha hilo
watumishi katika level ya utendaji wanahusika na mungu anawaona
Kwanza rushwa
wanakula rushwa Sana...hivi unadhani ninani anapanga issue? ni hawa jamaa ktk shule hasa shule za msingi wanawadharau Sana walimu hata manesi
lazima wanajua mchonga vyeti
haya majina kujirudia si cheti cha MTU mmoja? hawawatu wanakasoro kubwa.
walishindwaje kubaini tofauti
za majina? huh usumbufu kwa wenzetu unauma Sana
Pili, uwajibikaji mbovu
barua kutoka halmashauri had mkoani say tamisemi. mawasiliano mabovu yaliyojaa rushwa.
Wapo watumishi wameathirika kwa sabbu taarifa zimetupwa dust bin Na kwenye MABOX Tamisemi. Huu ni udhaifu wa kutupwa
ukufuatilia majina 9932 utakuta watumishi halali kabisa wamekumbwa Na mkasa, huh kisa ni watendaji
Kama kuna kiongozi wa juu anaeona mwenye macho angavu aone kwamba vyeti feki so kosa la kila aliekwenye orodha 9932 wajue kuna watu wanaishi Na vivuli vya watu
iweje kumbo liathiri hadi familiar
Sifa za pekee kwa necta mko makini kuna vilaza wa tamisemi na utumishi wanawaathiri
kwa mfano vyet vyenye utata..mnajua shid ilipo?
1. tamisemi vs Utumushi
2. poor programs networks za hivyo eti epika sijui omoso haiunganishi taarifa halisi za mtumishi.
watumishi wengi wajue watakosa mishahara kwa majina waliyoongeza kisa eti utumishi wanataka majina matatu. hi I ilisababisha kuleta utata kwenye uhakiki. salary slip na certicate kutoendana majina no way
tujisahihishe