Watenda kazi wengi wenye ufanisi zaidi ni zao la vyuo vya private. Na vyuo vya nje

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,435
1,192
Habarini wandugu..
Utafiti uliofanywa na baadhi ya wadau wa Elimu ni hakika kuwa vyuo vya private vinazalisha watenda kazi mahiri yaani (COMPETENT).

Kama unabisha changia ila kwa hoja. Ndo usomi ukileta matusi. We kilaza.
 
Kuna ka ukweli mfano dhahiri madaktari waliosomea KCMC& BUGANDO huwezi walinganisha na wale waliosoma udaktari Udom.!
 
leta kwanza huo utafiti tuuone, ili kama kuna mpigaji, basi apinge kwa kwa kuleta utafiti mwingine.

kwa upande wangu. kwakua sijaona utafiti, basi sijakubaliana na wewe kwa sababu hii.
Mnaokwenda vyuo vya private ni wale vilaza wa mwisho mliokosa nafasi ktk vyuo vya umma. Dunia nzima inaamini binadamu tunazidia IQ, na ni rahisi kumpa maelekezo mwenye IQ kubwa na akakelewa kuliko kumpa yule ambaye ni mental retarded. Naa pia mwenye IQ kubwa hua mdadisi na mbunifu. Sasa kwakua nyinyi mnaochaguliwa vyuo vya private hua ni mwenye uwezo mdogo, ninategemea hamna hata uwezo wa kufuata maelekezo vizuri na kua wabunifu, hivyo hata ufanishi wenu kazini utakua mdogo sana by implication.

usifafanishe ufaulu wa shule za sekondari za private na za umma, kwani ktk level hiyo, wanaochukuliwa ktk shule nzuri za private, mfano Feza, ni wale wenye uwezo mkubwa sana, hivyo kufanya vizuri kwakua wana uwezo; huku wanabaki ktk shule za umma hasa za kata, ni wenye uwezo mdogo, hivyo kufanya vibaya kutokana na uwezo wao.
Habarini wandugu.. Utafiti uliofanywa na baadhi ya wadau wa Elimu hakika kua vyuo vya private vinazalisha watenda kazi mahiri yaani (COMPETENT). Kama unabisha changia ila kwa hoja. Ndo usomi ukileta matusi. We kilaza.
 
leta kwanza huo utafiti tuuone, ili kama kuna mpigaji, basi apinge kwa kwa kuleta utafiti mwingine.

kwa upande wangu. kwakua sijaona utafiti, basi sijakubaliana na wewe kwa sababu hii.
Mnaokwenda vyuo vya private ni wale vilaza wa mwisho mliokosa nafasi ktk vyuo vya umma. Dunia nzima inaamini binadamu tunazidia IQ, na ni rahisi kumpa maelekezo mwenye IQ kubwa na akakelewa kuliko kumpa yule ambaye ni mental retarded. Naa pia mwenye IQ kubwa hua mdadisi na mbunifu. Sasa kwakua nyinyi mnaochaguliwa vyuo vya private hua ni mwenye uwezo mdogo, ninategemea hamna hata uwezo wa kufuata maelekezo vizuri na kua wabunifu, hivyo hata ufanishi wenu kazini utakua mdogo sana by implication.

usifafanishe ufaulu wa shule za sekondari za private na za umma, kwani ktk level hiyo, wanaochukuliwa ktk shule nzuri za private, mfano Feza, ni wale wenye uwezo mkubwa sana, hivyo kufanya vizuri kwakua wana uwezo; huku wanabaki ktk shule za umma hasa za kata, ni wenye uwezo mdogo, hivyo kufanya vibaya kutokana na uwezo wao.
Nendakaprove Mwenyewe pale Muhimbili wale madaktari wakubwa wote wamesoma vyuo gani... Then uje apa ulete mrejesho na sio kupauka tu Hapa
 
Wamesoma muhimbili na wengine kwenda kuongeza ujuzi nje ya nchi. Mdaktari wa muhimbili wanapiga tempo ktk huspitali kubwa za binafsi za Dar es salaam kama Kairuki, n.k

Ila leta utafiti wako, tusijadili umbea
Nendakaprove Mwenyewe pale Muhimbili wale madaktari wakubwa wote wamesoma vyuo gani... Then uje apa ulete mrejesho na sio kupauka tu Hapa
 
Rudi kwenye elimu maalum special needs Education Tanzania nzima huwezi mlinganisha MTU wa Special education wa Udom na Sekomu pale Lushoto.

Sekomu wako juu Sana'a kwenye taaluma ya Elimu maalum. Katika field pekee ninayoweza kiri vyou vya serikali hasa Udsm&,,Mzumbe ni katika taaluma ya sheria wako vizuri sana.
 
mkuu,, nfkr hy ni maoni yako binafsi(tunayaheshimu),,kwa kuwa hujaweka evidence,, ukijibu mambo hy mwl sote tutapata picha halisi
1.tuletee orodha ya ubora wa vyuo Tz na africa,tuone vyuo vya private tz viko nfs gn!
2.wahitimu wa vyuo vya private wana muda gn kwenye soko la ajira?(logic hp umetumia muda gn kuwapima na je unatosha?? mfn sauti graduate wake wana muda gn ukilinganisha na sua?? dit & etc).nfkr utajibu kisomi kama ulivyotusihi.
 
Ila usisahau wengi wa vyuo vya private ni div 3 na div 4 over nenda kwenye vyuo vya udaktari private utakuta div 3 na 4
 
Wahitimu wa st joseph wameleta mageuzi makubwa ya soko la fani ya Uhandisi
 
Back
Top Bottom