Wateja wa Nyumba (wapangaji) wanapungua sana siku hizi

Sasa hivi madalali wamekuwa wapole sana
Madalali wa Dodoma tu ndio njaa kubwa wanayo,unakuta nyumba inapangishwa kwa shs 200k yeye anataka apangishe kwa 300-250k anakuongezea hicho cha juu anakipiga yeye kama ndiye mwenye nyumba kisa "tension ya kuhamisha makao ya nchi"
 
Nimepanga nyumba ya kodi laki tatu kwa mwezi kwa miaka mitatu, nimepiga mahesabu kuwa nimeshapoteza milioni 11. Nikajiuliza kama miaka mitatu iliyopita ningekuwa nimejenga chumba na sebule nikawa na kipanua taratibu kwa hiyo M11, si ningeshakuwa nimemaliza ujenzi! Kwa kweli imeniuma sana. Soon nitahamia kwenye kachumba kamoja na sebule ili in the next three years niwe nimekamilisha ka gheto kangu...
Mhanga mwenzangu asee hii tafsiri ya kodi nyumba za kupanga ina maumivu yake na hasa ukiwa tayari una familia
 
Nimepanga nyumba ya kodi laki tatu kwa mwezi kwa miaka mitatu, nimepiga mahesabu kuwa nimeshapoteza milioni 11. Nikajiuliza kama miaka mitatu iliyopita ningekuwa nimejenga chumba na sebule nikawa na kipanua taratibu kwa hiyo M11, si ningeshakuwa nimemaliza ujenzi! Kwa kweli imeniuma sana. Soon nitahamia kwenye kachumba kamoja na sebule ili in the next three years niwe nimekamilisha ka gheto kangu...
Safi sana ....kupanga utumwa...hakikisha una kwako .....utu wa mtu siku hizi unaanzia hapo
 
Natafuta chumba mbezi au kimara wadau, naomba bei.

1.Chumba na sebule sh ngap
2. Chumba, sebule na bafu sh ngap
Kipo chumba na sebule, hapa mbezi, nimeambia bei Tsh 50,000 ila haina singbody, choo ya kuchangia.
 
habari wadau..

ni mimi tu naisoma namba au wote.. maana nina kajumba kangu napangisha kimara... toka mpangaji amehama naona watu hawapatikani kama zamani...

kupangisha nyumba nzima nowdays ni kazi sana..

kwa wenye dream za kujenga nyumba za kupangisha... msijenge nyumba kubwa jengeni chumba na sebule angalau ndio vinauzika nowdays...

ni hatari sana hiii...

naona zama za wenye nyumba kuringa zinaisha polepole
Kujenga nyumba nyingi ukitegemea ni biashara ya kukutoa hiyo sahau,labda utawala na aina ya uongozi uje kubadilika,fikiria kama National Housing watafanikiwa kujenga nyumba za kupanga kwenye kila mji na wilaya nini kitatokea,na uzuri,wao wanajenga nyumba zao kwenye maeneo ya mijini na sio kwenye suburb areas,kwahiyo automatically wengi watazikimbilia na hizo nyumba za wenzangu na mimi zitadoda tuu.
 
Madalali wa Dodoma tu ndio njaa kubwa wanayo,unakuta nyumba inapangishwa kwa shs 200k yeye anataka apangishe kwa 300-250k anakuongezea hicho cha juu anakipiga yeye kama ndiye mwenye nyumba kisa "tension ya kuhamisha makao ya nchi"
njoo PM nikuonyeshe nyumba ya 250 K full dodoma
 
Haujui watu wamehamishiwa dodoma
Pia watu wengi wamerejea makwao vijijini! Pili watu wengi walikuwa na vyumba town yan mtu anaishi iringa ila kapanga chumba dsm eti akija apate sehem ya kufikia sio hotel, mambo yalivyopinda wakacancel utaratib, tatu madem walikuwa wanaongoza kupangiwa rooms, saiv hakuna anaetoa hela kirahisi rahis kutafutia mchepuko nyumba! Haya yote yamefanya nyumba kusizi
 
Sio hali ng
habari wadau..

ni mimi tu naisoma namba au wote.. maana nina kajumba kangu napangisha kimara... toka mpangaji amehama naona watu hawapatikani kama zamani...

kupangisha nyumba nzima nowdays ni kazi sana..

kwa wenye dream za kujenga nyumba za kupangisha... msijenge nyumba kubwa jengeni chumba na sebule angalau ndio vinauzika nowdays...

ni hatari sana hiii...

naona zama za wenye nyumba kuringa zinaisha polepole
Sio hali ngumu. Kwani kukiwa hali ngumu ndo watu wana lala nje? Sema ninachokiona wimbi la wapangaji lilikua kubwa ni kutokana na kizazi cha miaka ya 80-85 na kizazi hiki kipindi cha mwisho cha mh JK tunaweza kusema alhamdulilah wengi wetu tumepata mahala pa kujihifadhi. Ndiyo maana mnaona mji umepanuka ghafla. Ukienda gongolamboto mji umeungana na Chanika na mbande. Lkn pia mji umepanuka ktk eneo la kilwa road isngekua hifadhi ungeuna na vikindu. Sasa viwanja vipo kisemvule huko. Lkn pia kibamba imeungana na mbezi. We unadhani hizi nyumba za nani.? Msubiri wadogo zetu kizazi cha miaka ya 93-20 kuanzi 2019 hadi 2020 kutakua na uhaba mkubwa wa nyumba.
 
Wenye nyumba dharau nyingi sana na wanazingua sana. Anaweza kukuambia uhame kipindi ambacho huna pesa wala mpango wa kuhama iliakukomeshe
Hapa nilipo nimeambiwa nihame nyumba jambo ambalo sikupenda kufanya hivyo. Hasa mwenye nyumba akiwa mwanamke
 
Sijawahi ona biashara kichaa kama real estate yaani ni biashara ambayo faida yake ni miaka 10
 
Back
Top Bottom