Wateja wa chumvi!

aneth1983

Member
Nov 1, 2010
14
1
Habari za leo wadau!

Natafuta wateja wa chumvi(un processed) nimevuna zaidi ya tani2.....kwa anae hitaji au anae jua wapi naweza pata soko naomba michango yenu wadau.
 
kuna viwanda vingapi vya chumvi Tanzania?Dar es salaam viko vingapi?kwanini usiwe mmoja wapo wa kuzalisha processed salt?na ukauza sehemu mbalimbali?pakti ya chumvi kwa sasa 0.5kg ni sh 300 kama sikosei na wewe una tani mbili ambazo ni 2000kg sio?
 
Asante sana ndugu!

Kweli sijui idadi ya viwanda,but ni aidia nzuri nitaifanyia kazi ila by the time being nahitaji kuuza unprocessed kwanza,....nitafika tu huko but taratibu ndo mwendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom