Wateja tuliolipia 27,000 Tanesco mpaka leo tunazungushwa

Kwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili..

Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za tanesco , danadana zinakuwa nyingi mara nguzo hamna, mara tuna wawekea wateja walio omba mwezi wa 8 yaan sababu ni nyingi na hamna mashiko

Pia tukumbuke Serikali yako.ilitoa tamko kuielekeza tanesco mpaka kufikia March 30 ,2022 wale wateja wote waliolipia 27 K wawe wameunganishiwa umeme lakini utekwlezaji wa maelekezo haya ni HOLAAA

Binafsi niliomba na kulipia huduma ya kuunganishiwa umeme tangia mwanzoni mwa december 2021 lakin mpaka leo sijapata iyo huduma yaan ni takriban miezi 5 sasa

Tusaidie mamaaa, sema neno tu na roho zetu zitatuliaaaa, ukitoka ughaibuni walau utoe kauli mamaaa
Tanesco washenzi Sana,nilienda leo mikocheni, wanasema wanawaunganishia wa December 15/2021,
wakitoka hapo wanakuja waliolipia Tarehe 16/2021 Hadi 05/January 2022,

Cha ajabu sasa kuna watu wanawapa rushwa hao mafundi anaenda kulipia leo baada siku mbili anafungiwa umeme,
 
Tafadhali onesha umelipia lini? Wilaya na namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidi
Mimi tangu October 2021 sioni lolote linaloendelea cha ajabu niliolipa nao wameshawekewa tangu mwezi wa November 2021 na umeme upo kwa jirani yangu.

Nimewauliza kama ni suala la kuongeza hela kuweni wazi mnaniambia mnalishughulikia suala langu. Tatizo ni nini TANESCO?

Nimefanya wiring tangu 2020 nyaya zitakuwa imara kweli au itanibidi nirudie tena? Tusaidieni jamani sisi wananchi wa chini tunapata shida sana.
 
Tanesco washenzi Sana,nilienda leo mikocheni, wanasema wanawaunganishia wa December 15/2021,
wakitoka hapo wanakuja waliolipia Tarehe 16/2021 Hadi 05/January 2022,

Cha ajabu sasa kuna watu wanawapa rushwa hao mafundi anaenda kulipia leo baada siku mbili anafungiwa umeme,
Ni shida na wana ubaguzi sana kama hujulikani utaula wa chuya.
 
Tafadhali onesha umelipia lini? Wilaya na namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidi
admin poleni na kazi.

kuna mama ameweka luku mwaka 2013 lakini tokea mwaka huo akinunua umeme anakwatwa kama 50% ya kila pesa anayotoa kwa maelezo kwamba ana deni.ni deni la nini na ipi namna ya kuliona na hata ikiwezekana kulifuta kwa pesa taslimu maana ni kero.
 
Kwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili..

Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za tanesco , danadana zinakuwa nyingi mara nguzo hamna, mara tuna wawekea wateja walio omba mwezi wa 8 yaan sababu ni nyingi na hamna mashiko

Pia tukumbuke Serikali yako.ilitoa tamko kuielekeza tanesco mpaka kufikia March 30 ,2022 wale wateja wote waliolipia 27 K wawe wameunganishiwa umeme lakini utekwlezaji wa maelekezo haya ni HOLAAA

Binafsi niliomba na kulipia huduma ya kuunganishiwa umeme tangia mwanzoni mwa december 2021 lakin mpaka leo sijapata iyo huduma yaan ni takriban miezi 5 sasa

Tusaidie mamaaa, sema neno tu na roho zetu zitatuliaaaa, ukitoka ughaibuni walau utoe kauli mamaaa
Vipi keshatamka?
 
Back
Top Bottom