Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watchout gari limeibiwa hongera bar!!!tuwe makini jamani na mascrepa yetu ya japan ..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 25, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,202
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  AIBU KUFA NA UGONJWA WA MOYO KIJANA LAKINI KUNA WATU WANATULAZIMISHA KUUMWA SHINNIKIZO LA BLOOD,BP NK...GARI IMEIBIWA HONGERA BAR MNAOENDA KUNYWA NA KUELEWA OVYO IPO SIKU MKO SAFARINI ULINZI WA MALI ZENU UKO JUU YENU WENYEWE SEHEMU NYINGINE YA KUHESHIMU

  BREAKPOINT...ingawa aka kamchezo nako kamepungua pale kwa mikwara ya daudi lakini ni marakumi ukaweke pale bank ulipe miatano uwe na uhakika wa gari yako kuna watu wameumbwa dunian kuondoa roho za watu kwa magonjwa ya pressure shinikizo la blood nk...tuwe nao makini ni gari nzuri sana nimesikia vibaya kuona kwenye picha ili
   

  Attached Files:

 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,767
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hivi umetoka Mirembe lini Ndugu?
   
 3. M

  Malogo Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Gari ya kubebea maiti watu wameiba? kaaaaaaaaaaaazi kweikwei
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,614
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 280
  Nahisi yeye ndiye mwizi!!(1)Umepata wapi hizi picha je kama siyo zenye we hapa zinahusikaje???(2)Picha zinaonekana ni za yard yanakouzwa magari Japan(3)Kwa ushauri wa Chipukizi rudi tena huko alikouliza umetoka lini inaelekea tatizo lako bado halijapata ufumbuzi!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,202
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  pole ndg
  ungeuliza kwanza
  nenda issamichuzi.blogspot.com,nimewapa uangalizi wa mali zenu nashukuru nimekuelewa
   
 6. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,604
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mkuu you have made my Day. Kula tano aisee
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,202
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280

  Attached Files:

 8. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona kama jeneza??
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,121
  Likes Received: 2,358
  Trophy Points: 280
  Katoa kwa Misupu kule iliwekwa jana hii gari ya kubebea maiti....nadhani ni masuala ya kishirikina zaidi...gari ya maiti ya nini bana?
   
Loading...