1974hrs JF-Expert Member Oct 27, 2014 741 536 Apr 16, 2016 #1 Kuna thread ilikuwa inahoji kuhusu huyu nabii mkuuuuuu sasa msikilizeni
RGforever JF-Expert Member Apr 3, 2011 6,878 5,431 Apr 16, 2016 #4 Mmmmmh Yaan Siku hizi Wachungaji bhana.. Anavyoingia Tu unajua Nini Mchungaji Fake
Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,497 11,342 Apr 16, 2016 #5 Sidhani kama manabii wa enzi hizo walikuwa wakijisifu ili kuhalalisha inabii wao.