Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Status
Not open for further replies.
..ok!..jana nilibahatika kukiona kipindi hongera mkuu naona ulikuwa una kula Popcorn huku unaongea...@ W.J .Malecela...ila mkuu @ Pascall Mayalla,,kipindi kilikua kina makosa kidogo...
 
Mkuu Nyunyu , Mkuu @Pascal Mayalla a.k.a Pasco anaelewa vyema nini namaanisha, sio kuhadiwa Mkuu, tayar washempa shavu pale thats why kama analipa fadhila flan iv though naamin nafsi yake inamsuta kwaanayoyafanya, Binadamu tumeumbiwa haya at...
Mkuu Bramo, jf is where we dare talk openly!, mimi ni mimi, nilifukuzwa kazi ya public service 2002 na tangu pale mpaka leo, nimesimama mwenyewe!, sijaajiriwa na yoyote, sijaegemea popote na simtegemei yoyote wala sitegemei shavu lolote, popote kwa yoyote!.

Ila kama una lolote uliujualo, just be open and get it out!.
 
Ukweli utabaki kuwa hivyo ulivyo. Ukweli haubadiliki kama ulivyo uongo. Hebu fikiria Willy, CCM hasa hiyo CC yake tangu mwaka 1995 haijawahi kutueleza kwa nini Mzee wetu JSM amekuwa akienguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa staili ile. Wala hauwezi kuufananisha ugombea wa JSM na wagombea wengine pamoja na maraisi wawili waliopita.
Nimwombe tu Paschal Mayalla amtafute Mzee wetu JSM amhoji kama alivyofanya kwako ili angalau tuliokuwa mashabiki wake tujue kilichojiri wakati ule. Sio vizuri wazee kama hawa kuondoka na historia nzito kama hii.

- Sure ukweli utabaki kuwa ulivyo kwamba hii thread sio ya baba wa member yoyote humu JF; awe wako au wangu muhimu ni kufungua thread inayohusu baba wako au wa wengine humu kama ni muhimu sana ila hii thread hahiuhusu!! au?

Le Mutuz!
 
W. J. Malecela

Mkuu wangu lazima uelewe jambo moja muhimu sana kwamba kizazi cha leo kipo katika mapito magumu sana,Vijana wa leo hawana ajira,vijana wa leo hawana uhakika wa kupata elimu ya juu ambayo imevurugwa na CCM,Vijana wa leo hawana uhakika wa matibabu yenye viwango vya juu ndiyo maana katika bajeti yetu tumetenga 10 bilion kwaajili ya matibabu ya viongozi wastaafu [India,UK ....] si hapa nyumbani.Muhimbili,KCMC na Bugando ni kwaajili ya akina Ngongo na makaputi wengine.Migomo ya madaktari si miongoni mwa matatizo ya viongozi wa CCM hata kidogo wanajua madaktari wao wapo India.

Umenishangaza sana unapodai mkutano mkubwa wa CCM jangwani ni kipimo kuwa CCM inapendwa !.Sijui kama mkutano wa jangwani ulikuwa na majibu ya matatizo niliyoorodhesha hapo juu ?.Ninachojua CCM ya Mwl Nyerere ilikuwa na majibu ya matatizo ya waTanzania hata kama haikufanikiwa kwa asilimia kubwa, CCM ya Kikwete ni CCM ya kuuza ardhi,ni CCM ya mikataba ya kijambazi ya kuiba madini yetu,ni CCM ya viongozi kujiwekea vijisent katika mabenk ya ughaibuni,ni CCM ya kulaghai waTanzania wasikuwa na uwezo wa kufikiri,ni CCM kwaajili ya viongozi na watoto wao,ni CCM itakayotoweka kwakuwa imeacha kufuata misingi ya kuanzishwa kwake ya kuwasemea wanyonge wakulima na wafanyakazi ndiyo maana Mwenyekiti wake aliwahi kutamka hadharani kwamba hana shida na kura za wafanyakazi.

Ujio wako katika duru za siasa Tanzania ni muendelezo wa ghiliba za wanasiasa ambazo tumeshazizoea sioni jambo jipya toka kwako.Umeshindwa maisha ya ughaibuni umebaini mahali rahisi pa kutokea ni blah blah za majukwaa ya siasa.
 
Last edited by a moderator:
..ok!..jana nilibahatika kukiona kipindi hongera mkuu naona ulikuwa una kula Popcorn huku unaongea...@ W.J .Malecela...ila mkuu @ Pascall Mayalla,,kipindi kilikua kina makosa kidogo...
.Mkuu Mtu Chake, asante kukiangalia na kunote makosa kidogo, ni kwa kuambiwa hayo makosa, ndipo nitaweza kuboresha program zangu, natanguliza shukrani na kukuahidi be free kukosoa maana huko ndiko kunijenga!. Wanaaona mapungufu na kuyanyamazia, ni watu wasio na msaada wowote kwangu, hivyo natanguliza shukrani.

Pascal.
 
W. J. Malecela

Mkuu wangu lazima uelewe jambo moja muhimu sana kwamba kizazi cha leo kipo katika mapito magumu sana,Vijana wa leo hawana ajira,vijana wa leo hawana uhakika wa kupata elimu ya juu ambayo imevurugwa na CCM,Vijana wa leo hawana uhakika wa matibabu yenye viwango vya juu ndiyo maana katika bajeti yetu tumetenga 10 bilion kwaajili ya matibabu ya viongozi wastaafu [India,UK ....] si hapa nyumbani.Muhimbili,KCMC na Bugando ni kwaajili ya akina Ngongo na makaputi wengine.Migomo ya madaktari si miongoni mwa matatizo ya viongozi wa CCM hata kidogo wanajua madaktari wao wapo India...

- Ok yes nimesema na ninarudia tena kwamba umati mkubwa Jangwani kwenye mkutano wa Mkoa tu wa CCM na sio Taifa understand that ilikuwa ni dalili tosha kwangu kwamba CCM inakubalika na wengi sana ila tatizo la CCM kama nilivyosema kwenye ile interview ni sisi viongozi wa CCM, wenyewe kwa wenyewe!!

- Again nilipokwenda Ughaibuni sikuwa nimeshindwa maisha hapa, na siamini Mama Migiro naye ameshindwa msiha huko Ughaibuni, sometimes Great Thinkers huwa mnanishangaza sana na mawazo yenu against yoyote asiye na mtizamo kama wenu, take it easy tupo kwenye Demokrasia ndugu yangu kila mmoja na mtizamo wake sio lazima wote tuwe sawa!!

LE Baharia!!
 
​Tatizo ni kuwa hamjui kuimarisha chama sisi kama wana CCM tunataka muende arusha mkafufue chama kikishakomboka kule tutajua kweli CCM itatawala miaka 50 mingine na sasa operesheni sangara inaanza in 2 weeks matawi mengine yatafungwa sasa kwa nini tusiwalaumu na william arudi newyork akabebe box hapa tuna mikokoteni inatutosha

Kuhusu Arusha ccm isahau kabisaa,ni sawa na kuota ndoto za mchana bora jiwe liongoze Arusha kuliko ccm never!!!!!!!!
 
Mtu akishakuwa na mawazo tofauti na yako basi ni lazima umtungie maneno mengi kama haya ambayo hayana anything to do na mimi wala msimamo wangu, pole sana bro; sasa imagine mkishika nchi watu wenye mawazo tofauti na yenu kama mimi itakuwaje? Ndio maana huwa ninawaogopa sana na hicho chama chenu!!

Le Mutuz!!
Hapana kwakuwa wewe hukuwa nchini lakini sisi tuliokuwepo tuliona ukatili aliotendewa Mzee Malecela lakini kwakuwa alitawaliwa na busara ila angekuwa mtu mwingine...angekuwa ameachana na siasa ila yakupasa wewe ukae kijijini kwako ujipange taratibu vyombo vya habari havinamsaada wowote wenye msaada ni wananchi wako wamtera!!

Ukijipanga na uhakika Lusinde mwakani unaweza kumuangusha..kwani naye hana jipya...zaidi ya kumwaga matusi jukwaani!....CCM niwabaya sana...kaa na mzazi wako mwulize hivi Baba nini yalikuwa malengo yako katika siasa na je imekuwaje...mbona kama umekata tamaa mapema atakwambia..

Kuanzia hapo chukua hatua nina imani mawazo ya babayako yalikuwa kuwa kiongozi wa nchii as president!!Hilo nimoja ya malengo ya Baba yako.
 
- Sure ukweli utabaki kuwa ulivyo kwamba hii thread sio ya baba wa member yoyote humu JF; awe wako au wangu muhimu ni kufungua thread inayohusu baba wako au wa wengine humu kama ni muhimu sana ila hii thread hahiuhusu!! au?

Le Mutuz!
Hii thread inaeleza jinsi unavyoifagilia CCM pamoja na yote unayoyafahamu kuhusu chama hiki likiwemo lile la mzazi wako mzee wetu JSM. Utanisamehe kama maoni yangu haya yatakuwa yamekusumbua. Una moyo wa peke yako kukitakia mema chama hiki ambacho kimemjeruhi mara kadhaa mzee huyu ambaye amekitumikia kwa moyo wake wote na ninaamini alikipenda kuliko wewe unavyokipenda.
Kuiombea CCM itawale kwa miaka mingine 50 hakufikiriki wala kuvumilika kwa visingizio kwamba wabovu ni baadhi ya watu na sio chama chenyewe!
 
Hapana kwakuwa wewe hukuwa nchini lakini sisi tuliokuwepo tuliona ukatili aliotendewa Mzee Malecela lakini kwakuwa alitawaliwa na busara ila angekuwa mtu mwingine...angekuwa ameachana na siasa ila yakupasa wewe ukae kijijini kwako ujipange taratibu vyombo vya habari havinamsaada wowote wenye msaada ni wananchi wako wamtera!!Ukijipanga na uhakika Lusinde mwakani unaweza kumuangusha..kwani naye hana jipya...zaidi ya kumwaga matusi jukwaani!....CCM niwabaya sana...kaa na mzazi wako mwulize hivi Baba nini yalikuwa malengo yako katika siasa na je imekuwaje...mbona kama umekata tamaa mapema atakwambia..kuanzia hapo chukua hatua nina imani mawazo ya babayako yalikuwa kuwa kiongozi wa nchii as president!!Hilo nimoja ya malengo ya Baba yako.

- Brother wewe una hoja ya baba na hii sio thread ya baba kwa nini suifungue thread ya baba za members wa JF, maana hii sio au?

Le Mutuz!
 
Hii thread inaeleza jinsi unavyoifagilia CCM pamoja na yote unayoyafahamu kuhusu chama hiki likiwemo lile la mzazi wako mzee wetu JSM. Utanisamehe kama maoni yangu haya yatakuwa yamekusumbua. Una moyo wa peke yako kukitakia mema chama hiki ambacho kimemjeruhi mara kadhaa mzee huyu ambaye amekitumikia kwa moyo wake wote na ninaamini alikipenda kuliko wewe unavyokipenda.
Kuiombea CCM itawale kwa miaka mingine 50 hakufikiriki wala kuvumilika kwa visingizio kwamba wabovu ni baadhi ya watu na sio chama chenyewe!

- Well sasa hivi mimi ni Kiongozi wa CCM, kata, wilaya na Mkoa, so understand that, mambo ya baba sidhani kama yana nafasi kwenye hii thread, ndio maana nasema fungua thread ya baba za members wa JF au ninakukwza maana naona bado unazidi tu on baba?

LE Mutuz!!
 
- Ok yes nimesema na ninarudia tena kwamba umati mkubwa Jangwani kwenye mkutano wa Mkoa tu wa CCM na sio Taifa understand that ilikuwa ni dalili tosha kwangu kwamba CCM inakubalika na wengi sana ila tatizo la CCM kama nilivyosema kwenye ile interview ni sisi viongozi wa CCM, wenyewe kwa wenyewe!!

- Again nilipokwenda Ughaibuni sikuwa nimeshindwa maisha hapa, na siamini Mama Migiro naye ameshindwa msiha huko Ughaibuni, sometimes Great Thinkers huwa mnanishangaza sana na mawazo yenu against yoyote asiye na mtizamo kama wenu, take it easy tupo kwenye Demokrasia ndugu yangu kila mmoja na mtizamo wake sio lazima wote tuwe sawa!!

LE Baharia!!
Dr Migiro alishindwa ndio maana Ban Ki moon akampiga ban kipindi hichi cha pili alikuwa ni mzigo mzito sana kwenye hiyo taasisi kubwa ulimwenguni
 
- Well sasa hivi mimi ni Kiongozi wa CCM, kata, wilaya na Mkoa, so understand that, mambo ya baba sidhani kama yana nafasi kwenye hii thread, ndio maana nasema fungua thread ya baba za members wa JF au ninakukwza maana naona bado unazidi tu on baba?

LE Mutuz!!
Tatizo hatutaki utumie Malecela uwe kama mtoto wa Msuya Mathayo s Mathayo hatumii Msuya
 
mkuu pascal anaomba political tolerance!

Mkuu umeshawahi kumuona mtu anaomba kujisaidia wakati yupo ndani ya gari, halafu kabla gari haijasimama huyo mtu anaanza kuharisha ndani ya gari huiu anakimbilia nje? Hivi huyu Mayalla ndo alopewa UD na mkwe..ree juzi kati au? Kwanza nilimuangalia wakati anaongea kwa ule mgogoro wa kugombea maji, nikajua kichwani mu-*er* kama aliyemchagua na kumpa hicho cheo
 
Dr Migiro alishindwa ndio maana Ban Ki moon akampiga ban kipindi hichi cha pili alikuwa ni mzigo mzito sana kwenye hiyo taasisi kubwa ulimwenguni

- Kwa hiyo ameshindwa maisha ndio maana karudi nyumbani, kwa hiyo wanaorudi nyumbani wote wameshindwa masiha huko Ughaibuni? Isipokuw awale tu wenye mtizamo kama wako au?

Le Biig Shoow!!
 
Hii thread inaeleza jinsi unavyoifagilia CCM pamoja na yote unayoyafahamu kuhusu chama hiki likiwemo lile la mzazi wako mzee wetu JSM. Utanisamehe kama maoni yangu haya yatakuwa yamekusumbua. Una moyo wa peke yako kukitakia mema chama hiki ambacho kimemjeruhi mara kadhaa mzee huyu ambaye amekitumikia kwa moyo wake wote na ninaamini alikipenda kuliko wewe unavyokipenda.
Kuiombea CCM itawale kwa miaka mingine 50 hakufikiriki wala kuvumilika kwa visingizio kwamba wabovu ni baadhi ya watu na sio chama chenyewe!

Ukishaaamini kuwa chama sio watu, lazima utakuja na mawazo kama haya ya W. Malecela ya chama sio watu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom