Nilimuuliza jana kama keshawahi kulipa kodi (tax) yoyote hapa Tanzania akajibu kuwa analipia shamba na nyumba yake vilivyoko Segerea.....ina maana hii biashara ya media halipi kodi na hajawahi kulipa hata PAYE tangu azaliwe.....shame on him indeed
Mkuu nashukuuru ..Kuwa at least in some points uumekubali Kuwa imekubiid ulegeze baadhi ya misimamo Yako ....la sivo kuingia kwenye chama iinakuuwa ngumu...."Nadhani uumeonaaa namna maadili yyalivyooromoka Ndani ya chama.....na njia nzuri ni kuingia na kubadiili mambo........lakini jijengee image wazi...Kuwa you are non nonsense .....na epuka Kuwa praise singer wwa failing regime.....alfajiirii hii ...Angalia Mbele na ccm mpyaa...
mleta mada naye ni kilaza tu....nani apoteze mda wake kumwangilia huyo mtu,....labda waangaliane wenyew...
mtu mwenye uelewa mkubwa kama mimi siwezi angalia akawawekee waangalie wakina mguu mchemba,simba wa wake wawatu,nyumbu wa serengeti -wassira na william darasa la saba lukuvi not me am out
- Swaggazzzz!!!!!!
Biig Shoow!!
Mkuu Mtazamo, licha ya utajiri lukuki wa maliasili Tanzania tuliojaliwa, lakini Watanzania tumekuwa masikini wa kutupwa miaka nenda, miaka rudi, hivyo umasikini kwa Tanzania ndio asili yetu na tumeuzoea!. Ni kutokana na mazoea ya umasikini huu, hivyo sio kero kwa Mtanzania, hivyo tumekuwa tukiichagua CCM na umasikini wetu na kuna uwezekano mkubwa wa kuendelea kuichagua CCM kwa miaka 50 ijayo!.Kuelekea 2015 CCM hata ikisimama na jiwe lazima jiwe lishinde!
Marehemu Kolimba alisema "CCM haina Dira" wakampuuza,Mwasisi na Mental wa CCM Mwl Nyerere akasema "CCM si mama yangu" wakasema ameshazeeka,
Sasa hata mwenyekiti wa CCM taifa wa sasa akasema "jamani ili chama kibaki salama lazima tujivue gamba" mpaka leo gamba limekwamia kiunoni! wanatuambia hatukuelewa maana ya kuvua gamba!
CCM kiini cha umasikini na ufisadi uliotopea TANZANIA!
Mkuu Gwalihenzi, lengo la kuweka masharti ya kujadili, ili kuweka directional na to stay in focus, nimeona mtu katoa hoja, badala ya watu kujibu hoja, wanajadili 'watu'!, ma great mind hawajadili watu, hujadili hoja!, ule muongozo umesaidia kuwaweka pembeni "simple mind" wanaojadili watu!.Tatizo la Pasco anapoweka thread yake hapa lazima aweke vizingiti kibao vya namna ya kujadili thread hiyo. Nakushauri Pasco, tuachie wahusika tujadili kwa uhuru bila mikwara yako wala usijidanganye kwamba wewe unauwezo mkubwa wa kuyaona mambo kuliko wengine, la si hivyo usingetuletea hoja za jamaa yako hapa kama vile yeye ni mtume wa kututabilia watanzania nini kitafuata! Naamini kuwa "No phenomena is static on earth, thus changes are always inevitable". Hoja za CCM itatawala miaka 100, CCM itatawala milele............, ni hoja zisizo na mashiko hata kidogo, wala hazina haja ya kupatiwa nafasi ya kuzijadili, kwani historia imeonesha wazi kwamba hakuna utawala unaoweza kudumu milele. Iko wapi Roman Empire, Ziko wapi Sudanic states?
Mkuu Mtazamo, licha ya utajiri lukuki wa maliasili Tanzania tuliojaliwa, lakini Watanzania tumekuwa masikini wa kutupwa miaka nenda, miaka rudi, hivyo umasikini kwa Tanzania ndio asili yetu na tumeuzoea!. Ni kutokana na mazoea ya umasikini huu, hivyo sio kero kwa Mtanzania, hivyo tumekuwa tukiichagua CCM na umasikini wetu na kuna uwezekano mkubwa wa kuendelea kuichagua CCM kwa miaka 50 ijayo!.
Mimi nimekulia familia masikini, kwetu soda ilikuwa mpaka wakija wageni!, na wali ni mpaka siku ya sikuu, kuku ilikuwa ni siku ya krismasi na kipande changu kilikuwa makanyagio, siku nikibahatika niliambulia kipapatio!. Amini usiamini, sikuwahi kuwa na kiu ya soda, wala kutamani paja enzi hizo kwa sababu sikuwahi kuvipata!. "You can never miss something you never had"!. Huu ndio umasikini wa Watanzania, tumezaliwa masikini, tumekulia umasikini na kujifia masikini. Ingekuwa tumesha wahi kuonja utajiri, then ukafuatia umasikini, hapo tungekereka na umasikini wetu na ndipi tungemwadhibu aliyetuletea umasikini huu!, kwa sasa Watanzania tulivyo, sisi ni kina "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", kama tumekuwa tunaichagua CCM kwa miaka yote 50 iliyopita pamoja na umasikini huu mkubwa iliyotuletea, kwa nini tusiendelee kuichagua CCM kwa miaka 50 ijayo? huku ikiendelea kutulaza na njaa!.
Hata ufisadi sio issue!, mbona kwa Tanzania ufisadi ni sifa, ukifika masaki yale majumba mazuri, yanaelezwa ndio majumba ya "kifisadi", hata magari mazuri Vogue, Hammer, yale ma benzi makali makali yanaelezwa ndio magari ya "kifisadi", hata CCM kinatamkwa ni Chama Cha Mafisadi!, na tumekuwa tukikichagua hivyo hivyo pamoja na ufisadi wake kwa miaka 50 iliyopita, kwa nini tusiendelee kukichagua kwa miaka 50 ijayo!?.
Mkuu Mtazamo, Watanzania wengi wanaamini "Mpaji ni Mungu", hivyo zile dhahabu, almasi, Tanzanite, zilizoko ardhini kwetu, sio zetu ndio maana akazificha chini, ili wageni wenye uwezo, ndio waje wazichimbe na kutuachia mashimo yetu!.Kuna anguko kubwa la uchumi linalozidi kuweka maisha ya Watanzania ktk hali ngumu.Tunakoelekea tutakumbana na ugumu wa maisha usioelezeka! Tutajikuta tunapiga kura za hasira 2015.
Pia joto la mabadiliko limepanda nchi nzima kuliko wakati wowote.Lazima CCM wajiandae kwa hili.
Kazi ipo kwa kamanda Le Baharia ...
Naona unanitafutia Ban ndugu.Mimi ni Pascal Mayalla ni member hapa jf na Pasco (wa jf) naye yupo na ni member wa jf!. NB. Kwa mujibu wa sheria zetu tulizojiwekea hapa jf, kumfananisha member yoyote wa jf na mtu mwingine yoyote, ni kosa la "name calling" na adhabu yake ni ban!.
Televisheni ya Taifa.Jana tarehe 9 kilikuwa kiende, lakini kukatokea " Technical problem" hakikwenda!.
Leo tena hakijarushwa!.
sidhani kama kipindi hicho kitakuja rushwa!.
Sorry for a all inconveniences caused!.
Ni kweli program ina technical problem ya ku-stuck stuck
And this is really meaning of Nonsense. Nyerere mwenye chama chake hakuwahi kutamka upuuzi huu, zaidi ya kusema CCM si Baba yake wala si mama yake.- I am still the same a no nonsense man, in all my media interviews have made it very clear of what I believe and what I dont, na again msimamo wangu bado ni ule ule ni kukisaidia chama changu CCM kutawala for the next 50 years!!
Le Biig Shoow!