Watch TBC Live: Matumizi ya Kikoa Cha .tz (dot tz domain name)!.

Mkuu EMT, kiukweli hii issue ya kutumia kikoa cha .tz bado ni subject ya wider discussion between being a matter of choice, optional or compulsory.

Nimeona wenzetu wanatumia mfano Japan ni .jp na South Africa ni .za hivyo sio why not .tz kwa all registered entities, ila tatizo ninaloliona ni the capacity to manage.

Huko Japan na Afrika Kusini compulsory au ni optional kutumia .jp na .za?
 
Huko Japan na Afrika Kusini compulsory au ni optional kutumia .jp na .za?
Mkuu EMT, sijafanya utafiti kwenye legislation zao, wala registration zao, lakini every official transactions na RSA ni .za na kwa Japan ni .jp, hivyo more research on this is needed!.

Paskali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom