tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,197
Wakati jamaa zetu wakijipiga kifua na Thika highway na bado wanakesha kwenye jam huku kwetu tunateleza na hatuna kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote huwa nasema kwa mgeni ambaye haijui Dar, akipiga mapicha na kuchukua video za mwendo kasi yenu huiona tamu sana, ila kwa Watanzania wanaozitumia, wanateseka sana, kunao wanatamani zirudi daladala za kawaida waendelee ilivyokua, maana ni kero tupu. Ona hii video ya Watanzania wakaazi wanaozitumia na kupata kero hadi balaa
we fala unatoka wapi? Nina uhakika chuo hujafika Wakenya hawahawa corrupt dudes ndo unawasifia! Wafute njaa kwao kwanza! Ama hamia Kenya! 2020 unaleta ngonjera za Wakenya in hospitality industry!Watanzania hatupo serious na haya mambo ya usimamizi, that's why hizi corporate na hospitality institutions zinawachukua wakenya kwenye eneo la uongozi na usimamizi ila sisi tupo magetini usafi, reception na jikoni huko.
Ni ukweli mchungu ila ndo hivyo
Hahaha, naona unaokoteza habari za hapa na pale just to make it look bad, but ukweli ni kuwa 200K wanasafiri humo per day,
Na faida inayotengenezwa na hayo mabasi law Mwezi ni Sawa na Mapato ya SGR ya kenya Mwaka mzima, mimi nasafiri na hizi gari mara nyingi na ni very comfortable.
Sent using Jamii Forums mobile app
very comfortable! aaise hapa mkeo anatoka na mimba.Hahaha, naona unaokoteza habari za hapa na pale just to make it look bad, but ukweli ni kuwa 200K wanasafiri humo per day,
Na faida inayotengenezwa na hayo mabasi law Mwezi ni Sawa na Mapato ya SGR ya kenya Mwaka mzima, mimi nasafiri na hizi gari mara nyingi na ni very comfortable.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi watanzania Ni mapumbavu Sana imagine tumeshindwa kuendesha Mwendokasi
Sent using Jamii Forums mobile app
we fala unatoka wapi? Nina uhakika chuo hujafika Wakenya hawahawa corrupt dudes ndo unawasifia! Wafuta njaa kwao kwanza! Ama hamia Kenya! 2020 unaleta ngonjera za Wakenya in hospitality industry!
Kwani ni mkutano wa kisiasa? 😂😂😂