Watch "Tanzania's BRT system has been running for 3 years" on YouTube

Siku zote huwa nasema kwa mgeni ambaye haijui Dar, akipiga mapicha na kuchukua video za mwendo kasi yenu huiona tamu sana, ila kwa Watanzania wanaozitumia, wanateseka sana, kunao wanatamani zirudi daladala za kawaida waendelee ilivyokua, maana ni kero tupu. Ona hii video ya Watanzania wakaazi wanaozitumia na kupata kero hadi balaa

Habari
KERO ZA MWENDOKASI ZAWAIBUA WANANCHI,WAZUIA MABASI BARABARANI
-
Mradi wa usafirishaji wa abiria wa Mwendo kasi umelalamikiwa na abiria huku ukidaiwa kutotimiza lengo lililokusudiwa wakati wa uanzishwaji wake.Hatua iliyofikia wananchi kuingia barabarani kuyazuia.
-
Inaripotiwa kwa leo,Oktoba 10 Wananchi wa eneo la korogwe wameingia barabarani ili kupaza sauti na kudai kuwa toka saa 12 asubuhi wamekosa gari na kuwasababishia kuchelewa kwenye majukumu yao lawama nyingi wakizutupia kwa gari za mwendokasi za express

Kero tupu

1583104664542.jpeg
 
Watanzania hatupo serious na haya mambo ya usimamizi, that's why hizi corporate na hospitality institutions zinawachukua wakenya kwenye eneo la uongozi na usimamizi ila sisi tupo magetini usafi, reception na jikoni huko.

Ni ukweli mchungu ila ndo hivyo
 
Hahaha, naona unaokoteza habari za hapa na pale just to make it look bad, but ukweli ni kuwa 200K wanasafiri humo per day,
Na faida inayotengenezwa na hayo mabasi law Mwezi ni Sawa na Mapato ya SGR ya kenya Mwaka mzima, mimi nasafiri na hizi gari mara nyingi na ni very comfortable.
Siku zote huwa nasema kwa mgeni ambaye haijui Dar, akipiga mapicha na kuchukua video za mwendo kasi yenu huiona tamu sana, ila kwa Watanzania wanaozitumia, wanateseka sana, kunao wanatamani zirudi daladala za kawaida waendelee ilivyokua, maana ni kero tupu. Ona hii video ya Watanzania wakaazi wanaozitumia na kupata kero hadi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania hatupo serious na haya mambo ya usimamizi, that's why hizi corporate na hospitality institutions zinawachukua wakenya kwenye eneo la uongozi na usimamizi ila sisi tupo magetini usafi, reception na jikoni huko.

Ni ukweli mchungu ila ndo hivyo
we fala unatoka wapi? Nina uhakika chuo hujafika Wakenya hawahawa corrupt dudes ndo unawasifia! Wafute njaa kwao kwanza! Ama hamia Kenya! 2020 unaleta ngonjera za Wakenya in hospitality industry!
 
Hahaha, naona unaokoteza habari za hapa na pale just to make it look bad, but ukweli ni kuwa 200K wanasafiri humo per day,
Na faida inayotengenezwa na hayo mabasi law Mwezi ni Sawa na Mapato ya SGR ya kenya Mwaka mzima, mimi nasafiri na hizi gari mara nyingi na ni very comfortable.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi unadhani ukiongopa uongo wako unageuka kuwa ukweli???
Unajiaibisha.
 
Hahaha, naona unaokoteza habari za hapa na pale just to make it look bad, but ukweli ni kuwa 200K wanasafiri humo per day,
Na faida inayotengenezwa na hayo mabasi law Mwezi ni Sawa na Mapato ya SGR ya kenya Mwaka mzima, mimi nasafiri na hizi gari mara nyingi na ni very comfortable.

Sent using Jamii Forums mobile app
very comfortable! aaise hapa mkeo anatoka na mimba.

IMG_20200302_084059.jpg
 
we fala unatoka wapi? Nina uhakika chuo hujafika Wakenya hawahawa corrupt dudes ndo unawasifia! Wafuta njaa kwao kwanza! Ama hamia Kenya! 2020 unaleta ngonjera za Wakenya in hospitality industry!

Ina maana mtu ambae hajafika chuo hawezi kuona ukweli? Ni fala tu (tena fala asiejua hospitality industry ya nchi hii ipoje) ndie atakaekana ukweli kuwa hospitality industry (na si Tanzania tu bali hata Uganda na South Sudan kwa uchache) ipo dominated na Wakenya kwenye management.
 
Back
Top Bottom