Watch: Tanzania is Constructing Africa's largest Hydro-power dam on river Rufiji

We jamaa Hujui hata umeandika nini!!! Soma hapo

Screenshot_20200602-220211~2.jpg
 
The largest dam is in Ethiopia. The problem with you Tanzanians is that you can't do proper research before you post anything.
Limekamilika?since 2011 hadi leo wanajenga tu sasa nyie mnamradi gani hata wa kuzaliwa megawatt 1000 basi?
Mtalimia meno
 
Limekamilika?since 2011 hadi leo wanajenga tu sasa nyie mnamradi gani hata wa kuzaliwa megawatt 1000 basi?
Mtalimia meno
Tanzania 1600 MW with a connection rate of 32%
Kenya 2800MW with 76% connection.
 
Sole Proprietor,

Hii Renaissance Dam inakaa another white elephant project kama Lamu port au Konza city, mwaka wa tisa haijaisha! Kweli?
Limekamilika?since 2011 hadi leo wanajenga tu sasa nyie mnamradi gani hata wa kuzaliwa megawatt 1000 basi?
Mtalimia meno
Bro hebu tupe data za uzalishaji wa umeme Kati ya Kenya na Tz 😁
Jinyonge tz 86% next year 96%
Na umeme wa Mgao? 😂😂 Hivi Dar Generator bado zinanguruma? 😁
Nmekuuliza Mradi na sio installed capacity...we hujui 2022 mtabaki apo tukiwa 4000+
Mkuu si mkamilishe Kwanza kabla ya kutupiku mdomo kwa wivu. SGR inawalemea 5 years km 100 ni Dam ndio mtaweza?
Wakenya wivu umewajaa hadi wamekua weusi tii kama mkaa.
Mwenye wivu ni yule anayefuatilia mwenzake kwa chochote anachofanya na kuisema mbaya...uko Kenyan News and Politics kulialia vile mtatupiku...bado tunangoja 😂
True Bro tuusan alikuwa poa but siku hizi ninkama amekua mateja, Kuna vitu anatumia hazimpeleki poa...amejawa na wivu wa kike which is really unlike the Tuusan I knew.
Hapa kwa njaa Watanzania hufurahia Sana Ila sote tunajua Bukoba watu wanabugia Kinyesi, utapia mlo umekidhiri Tanzania from Dar to Mtwara.
Jinyonge tz 86% next year 96%
86% na viwanda ni sheeedaaa 😉 pipi ,sabuni,madawa na na siagi zinatokea Kenya. 1350MW zinatosha kweli 86% ya Watanzania??? Hebu kaa chini kiasi ujiulize hilo swali.
Limekamilika?since 2011 hadi leo wanajenga tu sasa nyie mnamradi gani hata wa kuzaliwa megawatt 1000 basi?
Mtalimia meno
Sasa unataka tutengeneze Mto mkubwa Kwanza afu tuingie mega dam project? What happened to your sane reasoning? Unajua 75% ya Kenya ni semi arid Ila tuko na umeme mwingi kuliko any EAC Country?
86% of Tz connected to the Grid ni propaganda tu 😂
Bagamoyo White elephant iko wapi?
Strugglers Gorge?
Noah kwa kila Mtanzania?
Pipeline ya Mafuta?
Malipo ya Wakulima wa Koroshow?
SGR inawalemea?
Mafao ya Wazee waliostaafu iko wapi 😂 ayi mlitumia kujengea SGR na bado haijakamilika 😁( tunajenga kwa pesa zetu za ndani 🤣

Waafrica tushirikiane katika kujijenga wenyewe, Fedha kidogo zizunguke huku huku kutuletea maendeleo na kuipa heshima bara letu. Naamini Umoja wa namna hii ndio utakaotuvusha na sio vinginevyo!

Tutashikana na waongo kweli watu ambao hawapimi watu wao dhidi ya covid-19 afu wanawatuma madereva wao waambukize wanainchi wa Nchi zingine? Muache unafiki Kwanza.
 
Bro hebu tupe data za uzalishaji wa umeme Kati ya Kenya na Tz

Na umeme wa Mgao? Hivi Dar Generator bado zinanguruma?

Mkuu si mkamilishe Kwanza kabla ya kutupiku mdomo kwa wivu. SGR inawalemea 5 years km 100 ni Dam ndio mtaweza?

Mwenye wivu ni yule anayefuatilia mwenzake kwa chochote anachofanya na kuisema mbaya...uko Kenyan News and Politics kulialia vile mtatupiku...bado tunangoja

True Bro tuusan alikuwa poa but siku hizi ninkama amekua mateja, Kuna vitu anatumia hazimpeleki poa...amejawa na wivu wa kike which is really unlike the Tuusan I knew.

Hapa kwa njaa Watanzania hufurahia Sana Ila sote tunajua Bukoba watu wanabugia Kinyesi, utapia mlo umekidhiri Tanzania from Dar to Mtwara.

86% na viwanda ni sheeedaaa pipi ,sabuni,madawa na na siagi zinatokea Kenya. 1350MW zinatosha kweli 86% ya Watanzania??? Hebu kaa chini kiasi ujiulize hilo swali.

Sasa unataka tutengeneze Mto mkubwa Kwanza afu tuingie mega dam project? What happened to your sane reasoning? Unajua 75% ya Kenya ni semi arid Ila tuko na umeme mwingi kuliko any EAC Country?
86% of Tz connected to the Grid ni propaganda tu

Bagamoyo White elephant iko wapi?
Strugglers Gorge?
Noah kwa kila Mtanzania?
Pipeline ya Mafuta?
Malipo ya Wakulima wa Koroshow?
SGR inawalemea?
Mafao ya Wazee waliostaafu iko wapi ayi mlitumia kujengea SGR na bado haijakamilika ( tunajenga kwa pesa zetu za ndani 🤣

Tutashikana na waongo kweli watu ambao hawapimi watu wao dhidi ya covid-19 afu wanawatuma madereva wao waambukize wanainchi wa Nchi zingine? Muache unafiki Kwanza.
Jilishe upepo utashiba
 
Either or it doesn't matter
It does if you make a false claim. Your dam will generate only 2000 MW, GERD will generate 6500 MW more than three time what you will generate.
Their power will actually be cheaper than yours, that is why Kenya chose to connect to the ethiopian power grid system to buy cheap, reliable electricity once their dam is complete.
 
Limekamilika?since 2011 hadi leo wanajenga tu sasa nyie mnamradi gani hata wa kuzaliwa megawatt 1000 basi?
Mtalimia meno
ethiopia already produces 4000 MW. Their dam which is now 80% complete will push their generation capacity to 10,000 MW. Good news for Kenya because we will get cheap power from ethiopia.
 
Back
Top Bottom