watch out ur advices!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
24
Mama mmoja alikuwa anamshauri mwanae kuwa akienda mjini awe makini sana, akifika atafute mwanaume mcha Mungu, Asiyefuja pesa, na vile vile awe bikira!

Binti katoka kaja mjini, kakutana na njemba akarudi kijijini baadae convstn ilikuwa kama ifuatavyo:

Mama: Ekhe mwanangu habari za mjini?

Binti: Nashukuru mama, nimeenda mjini na nimepata mwanaume kama ulivyo nishauri, sio mfujaji, Mcha Mungu na ni bikira.

Mama: Hongera sana mwanangu, sasa umejuaje kama ni bikira?

Binti: Hiyo kitu yake ilikuwa mpya kabisa na bado ilikuwa kwenye plastic yake (condom)!

Mama mpaka sasa yuko hospitali ya Bugando anakula huduma ya matitabu ya presha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom