Watch "Diamond Platnumz : Ni Fundi wa kupiga Gitaa (Guitar)" on YouTube

to be honesty sipendi kuona mwanaume amevaa hereni......yan ata kama nilimpenda vipi akivaa tu hereni mapendo yanayeyuka fasta,bora sasa hereni za kawaida.hizi za kuninginia haki ya lahi vile namuona ka gasho
nimejaribu kuiirekebisha mind yangu mara buku but aaah wap imegoma
 
Uko sahihi kabisa!
 
Muanzisha uzi kila siku anaaibika kuleta thread za diamond halafu unarudia tu!!

weka mahaba mbali mdada, kama diamond ashakulalana anajua account yako huwezi ukaonyesha fadhila kwa njia hii

aisee

kweli dada umekosa kazi

endelea tu, utakosa amani kila siku kwa kujitakia

walikuwepo wengi tumewaona toka 2008, wamepotea! komaa endelea kusifia ila hauko peke yako
 
Sasa dada waberoya... Ila mwambieni Kiba hii sio saizi yake
 
Back
Top Bottom