Watch "Construction in full swing to build China’s ‘city of the future’, Xiongan" on YouTube

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
17,973
20,198

Hawa wachina wameamua kujenga smartcity umbali wa 100km kutoka mji mkuu Beijing...Lengo Ni kupunguza msongamano kule makau makuu...
Jaribu kuangalia namna Huo mji walivyoupanga
 
We acha dharau mbona sie tumejenga dodoma na tumehamia kwani hao China wanatuzidi nini?
 
Mimi nilishafanya maamuzi ya kuiga Wachina kwenye uchapa kazi wao, ndani ya miaka mitano lazima nione matokeo....nidhamu tu kwa kwenda mbele, hamna kingine...tuache blah blah Afrika.
 
Absolutely.
 
Another ghost town. Wachina hata majengo yao hayana mvuto kabisa, ama wajenge kama motoi ya watoto au kama maghorofa ya kariakoo tofauti kabisa na Europe. Kifupi hata Europe hii contemporary architecture imepelekea majengo yao ya sasa kuwa mabaya kweli wameyajaza vioo tu.
 
hawa watu pamoja na kuwa zaidi ya 1b bado wanasehemu bado kubwa tu ya kujenga
kweli tufyatue tu watoto au sio ndugu zangu
dunia hii kujaa bado sana
 
Another ghost town. Wachina hata majengo yao hayana mvuto kabisa, ama wajenge kama motoi ya watoto au kama maghorofa ya kariakoo tofauti kabisa na Europe. Kifupi hata Europe hii contemporary architecture imepelekea majengo yao ya sasa kuwa mabaya kweli wameyajaza vioo tu.
Kwahyo nyie ndio mnamajengo mazuri?achaga upuuzi
 
Nimesifia majengo ya ulaya, sasa nyie wakina nani? Upuuzi au ni ukweli majengo ya china hayana mvuto ukifananisha na ya ulaya.
Unapoponda kitu, inapaswa ulinganishe na cha kwako, acha kuwa mzembe.
Wachina wanaendelea kutatua tatizo la ukosefu wa makazi (homelessness) ambalo ni tatizo sugu sana Ulaya huko watu wanaishi kwenye magari au makao maalum na wengne pembezoni mwa barabara.
 
Sasa mkuu hata kama nakiona kitu kibaya nikisifie tu kwa kuwa hatuna? utofauti wa china na ulaya ni kwamba Ulaya wanaweka wazi taarifa zao wakati China mambo yote ya aibu wanaficha data kamili. China wanaolala mitaani ni kwa sababu wana umasikini uliokithiri wakati ulaya wengi ni watumia madawa ya kulevya na ulevi uliopindukia ndio wanalala mtaani sababu hawakidhi vigezo vya kupewa msaada na serikali, tatizo la madawa ya kulevya halijaathiri china kama Ulaya.
 
Sasa Huu Uzi unahusika vp na malalamiko yako?Umekosa kazi za kufanya
 
Nimesifia majengo ya ulaya, sasa nyie wakina nani? Upuuzi au ni ukweli majengo ya china hayana mvuto ukifananisha na ya ulaya.
Mvuto ni wewe ndio hujauona sasa kwann wakopi kutoka ulaya Kwani ulaya ndio akina nani
 
Back
Top Bottom