We acha dharau mbona sie tumejenga dodoma na tumehamia kwani hao China wanatuzidi nini?
Hawa wachina wameamua kujenga smartcity umbali wa 100km kutoka mji mkuu Beijing...Lengo Ni kupunguza msongamano kule makau makuu...
Jaribu kuangalia namna Huo mji walivyoupanga
Absolutely.Mimi nilishafanya maamuzi ya kuiga Wachina kwenye uchapa kazi wao, ndani ya miaka mitano lazima nione matokeo....nidhamu tu kwa kwenda mbele, hamna kingine...tuache blah blah Afrika.
Kwahyo nyie ndio mnamajengo mazuri?achaga upuuziAnother ghost town. Wachina hata majengo yao hayana mvuto kabisa, ama wajenge kama motoi ya watoto au kama maghorofa ya kariakoo tofauti kabisa na Europe. Kifupi hata Europe hii contemporary architecture imepelekea majengo yao ya sasa kuwa mabaya kweli wameyajaza vioo tu.
Nimesifia majengo ya ulaya, sasa nyie wakina nani? Upuuzi au ni ukweli majengo ya china hayana mvuto ukifananisha na ya ulaya.Kwahyo nyie ndio mnamajengo mazuri?achaga upuuzi
Unapoponda kitu, inapaswa ulinganishe na cha kwako, acha kuwa mzembe.Nimesifia majengo ya ulaya, sasa nyie wakina nani? Upuuzi au ni ukweli majengo ya china hayana mvuto ukifananisha na ya ulaya.
Sasa mkuu hata kama nakiona kitu kibaya nikisifie tu kwa kuwa hatuna? utofauti wa china na ulaya ni kwamba Ulaya wanaweka wazi taarifa zao wakati China mambo yote ya aibu wanaficha data kamili. China wanaolala mitaani ni kwa sababu wana umasikini uliokithiri wakati ulaya wengi ni watumia madawa ya kulevya na ulevi uliopindukia ndio wanalala mtaani sababu hawakidhi vigezo vya kupewa msaada na serikali, tatizo la madawa ya kulevya halijaathiri china kama Ulaya.Unapoponda kitu, inapaswa ulinganishe na cha kwako, acha kuwa mzembe.
Wachina wanaendelea kutatua tatizo la ukosefu wa makazi (homelessness) ambalo ni tatizo sugu sana Ulaya huko watu wanaishi kwenye magari au makao maalum na wengne pembezoni mwa barabara.
Sasa Huu Uzi unahusika vp na malalamiko yako?Umekosa kazi za kufanyaSasa mkuu hata kama nakiona kitu kibaya nikisifie tu kwa kuwa hatuna? utofauti wa china na ulaya ni kwamba Ulaya wanaweka wazi taarifa zao wakati China mambo yote ya aibu wanaficha data kamili. China wanaolala mitaani ni kwa sababu wana umasikini uliokithiri wakati ulaya wengi ni watumia madawa ya kulevya na ulevi uliopindukia ndio wanalala mtaani sababu hawakidhi vigezo vya kupewa msaada na serikali, tatizo la madawa ya kulevya halijaathiri china kama Ulaya.
Hilo jibu halikuhusu mzee, ukitaka kinijibu soma nilichokuquote. nimemjibu aliyeleta suala la ukosefu makazi.Sasa Huu Uzi unahusika vp na malalamiko yako?Umekosa kazi za kufanya